jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
'Jìbu' jina la sifa yaani mbu mkubwa sana!!jibu swali
'Jìbu' jina la sifa yaani mbu mkubwa sana!!jibu swali
Ndo maana nimeuliza hapa ni lini na wapi serikali ilitangaza kwamba maiti zote itazika wao bila kujali marehemu amekufa kwa ugonjwa gani!!!Mkuu, kuna watu wengi wanakufa na magonjwa yao ya zamani, ni vigumu kuendelea na utaratibu wa zamani wa mazishi kabla corona haijaingia TZ.
Mazishi ya zamani hayakujali mikusanyiko siju hizi mkikaribiana tu basi mmeshaambukizana maradhi ya mchina.
The fault of imposing leadership. There will be a lot of questions and punishment for those closing their eyes at this hour of need. The motive behind is not told, why?Tuambiane tu ukweli, kuna ongezeko kubwa la vifo ndani ya wiki hii, mara mbunge, mara mkuu wa wilaya, mara mstaafu wa CTI, mara mstaafu wa CUF
Halafu mazishi...watu wasiozidi kumi? Je, wanafariki kwa magonjwa mengine au magonjwa mengine yanapelekea magonjwa mengine kuwaua?
Huko makaburini Ununio na pengine, raia wanazikwa usiku chap chap... Why? Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night-Robert Alai
Kwanini misiba ya siku hizi inazikwa na serikali?
Corona haikwepeki:
Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania
Viongozi wa dini hii ni sawa na kumsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha!Ndo maana nimeuliza hapa ni lini na wapi serikali ilitangaza kwamba maiti zote itazika wao bila kujali marehemu amekufa kwa ugonjwa gani!!!
Hilo swali sijajibiwa, na kwa silika yangu, huwa siongei bila kuwa na uhakika!!!
Maelekezo ya mwisho yalitolewa na Majaliwa on April 25... hakuna popote walipotaja mwongozo wa maziko kwamba mtu akifiwa na ndugu, basi afuate utaratibu XYZ ili kuhakikisha maiti inazikwa na serikali!!
Kama huo mwongozo unao, tuwekee hapa... na kama hakuna, serikali wananchi watafahamu vp kwamba wanatakiwa kuichukua utaratibu fulani badala ya kuendelea business as usual!
Na kama wananchi hawajui, serikali itazifikia vp hizo maiti zoooooooooooote kwa sababu licha ya coronavirus, bado wanaendelea kufa!!!
And let's be honest here... ni lini serikali imewahi kujipa jukumu la kuzika maiti zisizotokana na maradhi hatarishi?! Hata kunapokuwa na mlipuko wa kipindupindu, serikali huwa inazika maiti lakini exclussively zilizotokana na kipindupindu!!
Mkuu chige lengo la mtu kuzikwa na watu wachache ni kupunguza uwezekano wa ugonjwa kusambaa.Ndo maana nimeuliza hapa ni lini na wapi serikali ilitangaza kwamba maiti zote itazika wao bila kujali marehemu amekufa kwa ugonjwa gani!!!
Hilo swali sijajibiwa, na kwa silika yangu, huwa siongei bila kuwa na uhakika!!!
Maelekezo ya mwisho yalitolewa na Majaliwa on April 25... hakuna popote walipotaja mwongozo wa maziko kwamba mtu akifiwa na ndugu, basi afuate utaratibu XYZ ili kuhakikisha maiti inazikwa na serikali!!
Kama huo mwongozo unao, tuwekee hapa... na kama hakuna, serikali wananchi watafahamu vp kwamba wanatakiwa kuichukua utaratibu fulani badala ya kuendelea business as usual!
Na kama wananchi hawajui, serikali itazifikia vp hizo maiti zoooooooooooote kwa sababu licha ya coronavirus, bado wanaendelea kufa!!!
And let's be honest here... ni lini serikali imewahi kujipa jukumu la kuzika maiti zisizotokana na maradhi hatarishi?! Hata kunapokuwa na mlipuko wa kipindupindu, serikali huwa inazika maiti lakini exclussively zilizotokana na kipindupindu!!
Hii ni kweli.Hivi ni kweli wanaofariki hawazikwi mpaka sample za maabara zirudishe majibu?
Walikuwa wanakufa. Ila pia hawakuwa wakizikwa na serikali kama tunavyojionea leo.Swali- Kabla ya korona watu walikuwa hawafi?
Sasa wasipotangaza wananchi watajuaje kwamba siku hizi ukifiwa na ndugu yako, unaenda kuwaambia serikali ili waje wachukue maiti wakazike?Mkuu chige lengo la mtu kuzikwa na watu wachache ni kupunguza uwezekano wa ugonjwa kusambaa.
Nyakati hizi ni mbaya, mambo yameshabadilika.
Sio kila kitu kitangazwe kwa tangazo maalum la kiserikali linalowekwa gazetini.
Mkuu kwa nini baadhi ya maiti huzikwa na seriksli Tena kininja na maiti ZINGINE hukabidhiwa kwa familia kwa masharti Yale Yale watu wasizidi 10?Watu wasiozidi kumi kuondoa misongamano, wanafariki kwa magonjwa yao ya zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka kuleta uongo wa kitoto wakati kila mmoja anajua serikali inazika maiti za coronavirus!Mbona misiba mingine ya wananchi hawasemi watu wasiozidi 10? NI special kwa baadhi tu?
Kabla ya Corona madaktari na manesi walikuwa hawafi kwa kuambukizwaSwali- Kabla ya korona watu walikuwa hawafi?
Kwahiyo ubataka kulinganisha na nini? Huu unaamhukiza haraka kwa watu wengi zaidi na hauna dawa.Kabla ya Corona madaktari na manesi walikuwa hawafi kwa kuambukizwa
Watu ni wingi ni zaidi ya moja, Sasa kwenye hiyo clip ni maiti ngapi zimeonyeshwa ? Au ndio ushetani wenyeweHali ni mbaya mbaya kweli kweli watu wanafia mlangoni kwenye ofisi za ccm lumumba haebu fikiria Watanzani wa huko vijijini
Mbona kwenye makanisa na misikiti ibada mikusanyiko unayoisema hapa haijazuiwa we mbwa?Nmekwambia selikali kuzika watu kama hao ni moja ya mikakati ya kupunguza maambukizi si hapa tu hata Kenya wanafanya hivyo.
Huku mtaani hata mtu akifa kwa ajali selikali ya mtaa inasimamia ili watu wasirundikane msibani na mazikoni wanaenda watu wachache.
NI MOJA YA MKAKATI WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zile zinazozikwa kila usiku.Watu ni wingi ni zaidi ya moja, Sasa kwenye hiyo clip ni maiti ngapi zimeonyeshwa ? Au ndio ushetani wenyewe
Wewe una ndugu aliyekufa na kuzikwa nyinyi ndugu hamkutaarifiwa?Kuna zile zinazozikwa kila usiku
Hapo kuna(????)Hakuna maambukizi but watu wanapukutika kinoma.