Road liences

mekwedweet

Member
Apr 17, 2009
12
1
Wadau wataalam wa sheria nijulisheni, road liences yangu ime expire juzi kesho nikiikgia barabarani na gari langu nitakuwa nimevunja sheria???
 
Road liences au licence? Kama ni road licence muulize mtoto wa jirani yako mwenye umri wa miaka sita.Atakupa jibu.
Wadau wataalam wa sheria nijulisheni, road liences yangu ime expire juzi kesho nikiikgia barabarani na gari langu nitakuwa nimevunja sheria???
 
Wadau wataalam wa sheria nijulisheni, road liences yangu ime expire juzi kesho nikiikgia barabarani na gari langu nitakuwa nimevunja sheria???

TRA wanakuvutia pumzi kwa mwezi mzima,lakini trafiki kwa kuwa hawana mission wala vision katika utendaji wao wanaweza si tu kukupotezea muda bali kukutoza faini pia. Wao wanaamini jukumu lao ni kukamata kila gari walosema linavunja usalama barabarani, Road license si swala la usalama barabarani ni KODI ya serikali ambayo hukusanywa na TRA,hivyo basi baada ya kuisha muda wake ndani ya mwezi huo huo iliyoishia ukienda kulipa TRA utalipa kodi hiyo bila tozo (fine) ukichelewa utalipa na fine.
Lakini trafiki wanatumia kifungu chao kisemacho 'any other traffic offence' sijui ni kwa ujinga au ni udhalim tu,wakikukamata watatumia hicho kifungu kukulipisha fine ya tzs 30k. Sijui jamii ifanyeje kuwasaidia hawa jamaa waelewe kuchelewa kulipa kodi SOIO TRAFFIC OFFENCE wanatakiwa wakikukamata wakupeleke TRA...
 
Lakini si umelewa nilikuwa namaanisha kitu gani.? Bado unautumwa Wa kikoloni kichwani mwako. Kingereza ni lugha kama nyingine kisukuma, kichaga, nk. Sihitaji kuijua vizuri lugha hiyo ya kingereza kwani sio lugha yetu ila ya kitumwa. Sipendi kuendelea kutukuza wazungu. Fikra zangu zilikombolewa miaka mingi iliyopita. ONDOA KICHWANI MWAKO UTUMWA WA FIKRA KWANI NI MBAYA KULIKO ULE WA KUFUNGWA MINYORORO!! Pasaka njema
 
Back
Top Bottom