RO aozesha - Hongera mwanangu weee.. hongera.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RO aozesha - Hongera mwanangu weee.. hongera..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 6, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 6, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu na "mtani wa jadi" Bw. Rashid Othman - Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa anaoza wiki hii binti yake Sabrina kwa familia ya kina Zungu (Mbunge wa Ilala). Kwa niaba ya sisi "wengine" na "wao" tunamtakia bibi Harusi na Bwana Harusi ambaye anaishi UK maisha mema ya ndoa na kamwe wasije kujikuta kwenye visanga vya Mjamaika na Mke wa Waziri... katika Kumbatio la Mwenye Makosa...
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mwanakijiji, kama huyo bwana Othman ni "mzee" mwenzio na pia mtani wako wa jadi, sisi wengine tukueleweje? Mbona unatuchanganya!!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Nashangaa umechelewa kuipata habari hii. Naona kainzi kanalala usingizi siku hizi. Inasemekana ukumbi uliokodishwa mara ya kwanza umekuwa mdogo baada ya kubainika kwamba waalikwa kutoka sehemu mbali mbali duniani ni wengi mno kuliko uwezo wa ukumbi huo. Si ajabu kadi yako ya mwaliko iko njiani lol!
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  miye nimeombwa nitume salama kwa niaba ya marafiki wa zamani wa Bibi Harusi..
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu umesahau kuna ile ya "special one" akisema a thousand flies wakila shyte???... probably kanzi kalikua busy kakila shyte
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Wa kike au wa kiume? Huoni kama huu sio wakati muafaka? Unaweza kuamsha mashetani yaliyo lala.
   
 7. A

  Audax JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Matumizi ya hela za mafisadi ni harusi za kifahari tu na kuweka hela ktk benki za nje ya nchi!! Thats why white people they always think n know that we are folls. How can you spend billions or millions of money for wedding ceremony? Why don't you build a small industryatleast or a house for renting people or do something productive for the society? This is shocking
   
 8. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida, wenye nazo kwa wenye nazo, hadi ukumbi hautoshi, this world bwana!!! is not fair
   
 9. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,428
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Mkuu kumbe na wewe ulikuwa rafiki wa zamani wa bibie,safi sana. Watanzania wote ni ndugu.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  sasa si unajua uzee wa enzi na enzi.. toka kijiweni..
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji you sound like u belong to the
  ruling class.the elites.....
  Are you???????????????
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  hell to the big no..!! I belong to the class that has some rules!
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mwanakijiji hao rafiki wa biharusi wa jinsia gani?

  hongera kwa kuozesha na pole kwa vijana ambao walikuwa wakimendea hapo...........wafunge kambi kwengine sasa
   
 14. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  The power of Relativity is what ruling here Kaka!
   
 15. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu MKJJ nawe uko kwe payroll nini!?wink
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mzee wa sikinde na ki redio chake 24/7 ofisini.
  Back to the topic, ....kama 'uwezo' unaruhusu rukhsa kufanya karamu ya kukata na shoka. Mheshimiwa ana ndugu, jamaa na marafiki toka pande zote za dunia, ndani na nje ya nchi.
  BTW, harusi sawa na kuzaliwa au kifo ni tukio linalokutokea Once in a lifetime.
   
Loading...