Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
Mkuu tuendeleeeItaendelea mkuu
Mkuu tuendeleeeItaendelea mkuu
Kimya kikuuu tangu juziKimyaaa...
Tushachoka mkuu Bora tu ukae kimya ukiibuka uje nayo kwakweliTutaendelea Wakuu, msiwe na shaka. Kuna mambo hayajakaa sawa hivyo riwaya hii bado haijaendelea.
Inashangaza, labda yupo busy na majukumu mengine.Sijui amekwama wapi
Hayo Mambo bado hayajakaa sawa tuTutaendelea Wakuu, msiwe na shaka. Kuna mambo hayajakaa sawa hivyo riwaya hii bado haijaendelea.
Hizi hadithi za Daniel Mwasba huwa haziishi humu JF usome tu heading usijiangashe kuendelea tafuta vitabu vyake tu.Hayo Mambo bado hayajakaa sawa tu
KwakweliiiiHizi hadithi za Daniel Mwasba huwa haziishi humu JF usome tu heading usijiangashe kuendelea tafuta vitabu vyake tu.
Kwakweli aisee, wacha tu nifanye hivyo maana huyu jamaa ataniua kwa alosto.!Hizi hadithi za Daniel Mwasba huwa haziishi humu JF usome tu heading usijiangashe kuendelea tafuta vitabu vyake tu.
Wanafanya makusudiKwakweli aisee, wacha tu nifanye hivyo maana huyu jamaa ataniua kwa alosto.!
Hata ukiitafuta hutoipata. Naposema bado haijaendelea mkuu namaanisha. Ilipoishia ndio hapohapo. Mambo ni mengi thats why, so ikiendelea itawekwa.Kwakweli aisee, wacha tu nifanye hivyo maana huyu jamaa ataniua kwa alosto.!
Sijisumbui mpaka iishe ndo nitasoma hizi habari za kusubiri zinachosha![]()
RIWAYA: Anga ya Washenzi na Gilbert Evarist Mushi
Riwaya: Anga ya Washenzi Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi Phone: 0765824715. Msimu wa Kwanza, Sehemu ya 01 SURA YA KWANZA Jumatatu Tar 07/04/2022, Saa 04:00 Asubuhi. Hali ya hewa ilikuwa ni ya baridi sana katika mji wa Moshi, maelfu ya watu walikusanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha...www.jamiiforums.com
RIWAYA: Anga ya Washenzi na Gilbert Evarist Mushi
Mmenifanya niogope kuisoma maana sipendi kusubiriSijisumbui mpaka iishe ndo nitasoma hizi habari za kusubiri zinachosha
Alosto inatesa sana, pale unapotamani kujua nini kilitokea alafu mleta simulizi anapotea hewani hahahaMmenifanya niogope kuisoma maana sipendi kusibiri
Ndio zinatesa Sana subiri subiri page ziongezeke wapo wenye moyo wa uvumilivuMmenifanya niogope kuisoma maana sipendi kusibiri