Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 328
- 217
Hongera sana mtunzi yani tunaenjoy!
Karibu sana,Hongera sana mtunzi yani tunaenjoy!
Kuwa na adabu nani dogo?Hujapiga kura mkuu
Hasira haikusaidii kitu dogo
Ahaa kumbe na wew unamaind ukitekenywa?Kuwa na adabu nani dogo?
Aisee umeniita kistarabu mpaka roho imeniumawegero kwetu njoo huku Swahiba.
Poa poa swahiba ushakuwa rafiki yangu tayar mkuu lete mwendelezoAhaa kumbe na wew unamaind ukitekenywa?
Basi kuwa mpole Swahiba.
Usijali ndugu hakuna usiriazi sana kwenye komenti maana kila mtu anaandika akiwa nyuma ya keyboard hatuonani sasa ya nini tuchukulie vitu siriazi kiasi hicho?Aisee umeniita kistarabu mpaka roho imeniuma
Ahsante sana mkuu tuendelee kuwa pamoja mpaka mwishoHongera sana mtunzi yani tunaenjoy!
Itashuka mkuu usiwaze na mzigo wa kwendaUmeaanza kuzingua tena
Nitaishusha tu mkuu usiwazeTunaisubili 5
Mmmmmh!!Nitaishusha tu mkuu usiwaze
Sawa mkuu sitachelewa kesho mzigo lazima ushuke
Usipende kuwa muongo muongo wee MzeeSawa mkuu sitachelewa kesho mzigo lazima ushuke
Mkuu mzigo unashuka leo hii hii usiwazeUsipende kuwa muongo muongo wee Mzee