born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,499
Mkuu,ngoja atupie moja ya JKiango tubadilishe mandhali kidogo kabla ya kurudi kwenye ombi lako.Kwenye kikomo kuna mtu/kitu kinaitwa Elungata,nadhani humu JF kuna mtu anaitwa Elungata.
Sijawaangusha mkuu lengo tupate burudani na kwa kuwa niliona yupo wa kunisaidia hivyo nikaona si mbaya kama tukaendelea kuburudika na nyingine maana watu tunaopenda kusoma riwaya huwa hatupati shida kusoma hata riwaya sita kwa mpigo. Tuko pamoja mkuukidi kudi anatuangusha, badala ya kumaliza moja ili kuhamia nyingine, yeye anatuongezea mpya wkt anatuacha roho juuu
Shusheni vitu basi karibia mtaka nyapu anafika ikiwa mkesha sitapata muda wakusoma
Shusheni vitu basi karibia mtaka nyapu anafika ikiwa mkesha sitapata muda wakusoma
Wekeni riwaya jamani ina maana hamjamsikia rosob? Katuwakilisha na sie wengine au mnataka tuseme wote?😛
Eeeeh ndo ufunguke sasa..! Ngoja na mimi nikajilie kipochi manyoya changu
Sijawaangusha mkuu lengo tupate burudani na kwa kuwa niliona yupo wa kunisaidia hivyo nikaona si mbaya kama tukaendelea kuburudika na nyingine maana watu tunaopenda kusoma riwaya huwa hatupati shida kusoma hata riwaya sita kwa mpigo. Tuko pamoja mkuu
Jamani ndio kweli tunalala ivi ivi bila ya hii kitu kweli!!!!!!!!!?