born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,497
Mkuu,ngoja atupie moja ya JKiango tubadilishe mandhali kidogo kabla ya kurudi kwenye ombi lako.Kwenye kikomo kuna mtu/kitu kinaitwa Elungata,nadhani humu JF kuna mtu anaitwa Elungata.
Eeeeeh yupo afu ye'ndo alikuwa kubwa la maadui na alikuwa kamishna wa Polisi.
Last edited by a moderator: