Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mpe live mkuu...! Kwani kaulizwa? Yaani kaniharibia pozi kweli
Aaah..!! Yan watu kama hawa huwa wananikata stimu ka nini yan hapa kaniharibia pozi kama nini
Mpe live mkuu...! Kwani kaulizwa? Yaani kaniharibia pozi kweli
Poleni jamani sikuwa na maana hiyo nilisoma page kama tatu za mwisho
Samahanini sana ndugu sitorudia
ikiisha uchu tunaamia kwa JORAM KIANGO
1. Malaika wa Shetani
2. Tutarudi na Roho zetu
3. Salam toka Kuzimu
4. Dar-es-Salaam Usiku
5. Najisikia Kuua Tena
ikiisha uchu tunaamia kwa JORAM KIANGO
1. Malaika wa Shetani
2. Tutarudi na Roho zetu
3. Salam toka Kuzimu
4. Dar-es-Salaam Usiku
5. Najisikia Kuua Tena
Mkuu nina wazo....Mi naona tuipitie riwaya ya kikomo afu ndo tumuanze Ben R. Mtobwa na joram kiango wake. Unaonaje..?
CC. Khantwe,rosob,kaizer