Mkuu embu nitag nikapate kutuliza akili , mm ni search tanzia naletewa habari za vifo vya wasanii tu[emoji1]kuna `mzigo' unaitwa TANZIA ukipekua hapa jukwaani utaupata,ila inatisha sana,mambo ya kishirikina
Nipo sana kiongozi, ila hii kauli mbiu ya hapa kazi tu inapeleka msobemsobe hata sipati muda wa kujumuiKa jamvini kikamilifu. Ila nipo mkuu
Nashukuru jamii forum naisoma hadithi hii.Sikujuwa kama Musiba aliandika kitabu kingine baada ya kufa na kupona,Kikosi cha kisasi,njama,kikomo na Hofu.
Mwandishi kama unacho Hujuma,tutiririshie.
Ombi limesikika loud n' clear usicheze mbali na hili jukwaa usije ukapitwa kwani bado kitambo kidogo tu!
Search humu jamvini kuna Njama na Hofushukrani sana kidin kudi maana huwa napenda sana vitabu vya musiba kama kuna link ya vitabu vingine wekeni humu jamani
Mi ninacho njama na kikomoHabari wana jf? Kwa mtu mwenye riwaya kama "Tutarudi na roho zetu, Njama, hofu, kikomo,hata ikibidi kufa nife" tuwasiliane kwa namba 0752568016
Mkuu nakitamani sana hicho kikomo....nipe utaratibu wa kukipata mkuu.Mi ninacho njama na kikomo
ninayo nakala moja tu labda kukuazima,Mkuu nakitamani sana hicho kikomo....nipe utaratibu wa kukipata mkuu.
Upo pande zipi mkuu?ninayo nakala moja tu labda kukuazima,
Sasa niianze kuilisoma taratiibukidi kudi shambulia jukwaa kwa kutupia epsode zaidi. technician aksante sana kwa kuokoa jahazi maana kidi kudi kesha tufanya mbaya.
willy gamba ongeza mambo plz
Asante kiongozi kwa hii link[emoji109][emoji109]Wewe ni mpenzi wa riwaya za upelelezi za Willy Gamba zilizoandikwa na ARISTABLUS ELVIS MUSIBA (A.E MUSIBA)? Kama ni ndio..
Basi ingia hapa ujisomee riwaya zake zote: .....BONYEZA ...HAPA...
.
.
Kama vile; KUFA NA KUPONA, HOFU, KIKOMO, KIKOSI CHA KISASI, NJAMA, UCHU