Riwaya: UCHU

Riwaya: UCHU

kuna `mzigo' unaitwa TANZIA ukipekua hapa jukwaani utaupata,ila inatisha sana,mambo ya kishirikina
Mkuu embu nitag nikapate kutuliza akili , mm ni search tanzia naletewa habari za vifo vya wasanii tu
 
shukrani sana kidin kudi maana huwa napenda sana vitabu vya musiba kama kuna link ya vitabu vingine wekeni humu jamani
 
Nashukuru jamii forum naisoma hadithi hii.Sikujuwa kama Musiba aliandika kitabu kingine baada ya kufa na kupona,Kikosi cha kisasi,njama,kikomo na Hofu.
Mwandishi kama unacho Hujuma,tutiririshie.

Mkuu unacho kufa na kupona?tuletee basi,nasikia pia alitunga kijasho chembamba,ushawahi kukisoma pia?
 
Habari wana jf? Kwa mtu mwenye riwaya kama "Tutarudi na roho zetu, Njama, hofu, kikomo,hata ikibidi kufa nife" tuwasiliane kwa namba 0752568016
 
kidi kudi shambulia jukwaa kwa kutupia epsode zaidi. technician aksante sana kwa kuokoa jahazi maana kidi kudi kesha tufanya mbaya.

willy gamba ongeza mambo plz
Sasa niianze kuilisoma taratiibu
 
Wewe ni mpenzi wa riwaya za upelelezi za Willy Gamba zilizoandikwa na ARISTABLUS ELVIS MUSIBA (A.E MUSIBA)? Kama ni ndio..
Basi ingia hapa ujisomee riwaya zake zote: .....BONYEZA ...HAPA...
.
.


Kama vile; KUFA NA KUPONA, HOFU, KIKOMO, KIKOSI CHA KISASI, NJAMA, UCHU
 
Back
Top Bottom