Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,884
- 952
Willy kwa kujipendelea huwa simuwezi...
Huwa anakutana na vilivyonona tuuu....kamua Willy...kamua
Willy kwa kujipendelea huwa simuwezi...
hope uchu umewaisha sasa. nawashukuru kwa uvumilivu wenu tangu mwanzo mpaka hapa tulipofikia. waliokwazika poleni sana tusameheane tusonge mbele naimani mambo mazuri mengi yanakuja.
Kweli ndugu yangu huu mpera mpera unatupeleka kweli ila juhudi na ubunifu unatuhusu.Nipo sana kiongozi, ila hii kauli mbiu ya hapa kazi tu inapeleka msobemsobe hata sipati muda wa kujumuiKa jamvini kikamilifu. Ila nipo mkuu