Riwaya: The Football

Riwaya: The Football

Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS
BRING BACK OUR GIRLS
KIAPO CHA JASUSI
KIKOSI CHA SIRI
Kumekuwa na matumizi mabaya ya baadhi ya riwaya zangu hapa katika jukwa letu.Riwaya kama The football,I died to save president ,Miss Tanzania zimekuwa zinarushwa humu JF bila ruhusa yangu.Tabia hii si nzuri na inakatisha tamaa wandishi ambao wanaumiza vichwa vyao kutunga hadithi na kuburudisha wasomaji lakini anatokea mtu na kuanza kutumia kazi bila ridhaa ya mwandishi.Ninatoa onyo kwa wale wenye kuendelea na mchezo huu wa kutumia riwaya za watu bila ruhusa tayari wanasheria wanalishughulikia suala hili na hatua stahiki zitachukuliwa kwa yeyote asiyeheshimu kazi za watu
Me naona hakuna tatizo wala, ndio unavozidi kujulikana kwa simulizi nzur kibaya ingekua mtu amebadili jina la mwandishi, jina liko pale pale unajulikana ni wewe umeandika, nikupe hongera kwa simulizi nzur zenye kusisimua ila umekurupuka katika hili

Kunapage facebook, vipi unauhakika riwaya zako hazitumwi kwenye magroup yavwassap na blogs???

Sjaona shida wala kufanya hayo labda mtu ajiweke jina lake wakat simulizi n yako hapo ulopaswa kumchukulia hatua hiki tukifanyacho kinakufanya utambulike kwa upana zaidi mana tunakusaidia kushare kaz zako bila hivi utajulikana vipi???
 
Tumevamiwaaaaa...
Ndio mtunzi ndugu yangu, mie pia nimeshasima riwaya zake nyingi tu tena zingine hadi tunalipia ili kuzipata....all in all kama kalubule hakuwa na ruhusa ya mtunzi basi ni vizuri akafuata utaratibu wa kuzileta hapa asije akalipishwa mamilion bure kama faini
 
Lakini Patrick mie nadhani hapa ndio unajulikana zaidi, mfano mimi nina kitabu chako cha Miss Tanzania nilikinunua mwenyewe lkn hainifungi kumpa mtu mwingine kukisoma na jina lako hapo litakuwa limejitangaza zaidi watu watataka kukufahamu zaidi na zaidi na kutafuta kazi zako
 
Halafu. Hakuna aliekua anajua jijsi ya kumpata mwandishi, me niliona id yake lakini fake ilivoshika kas nikawa najisemea ni mtu kaamua kuja kwa njia hii

Hata hivo me ndio naposhangaa kuna story mewah post hapa mdada akanifata pm na kunitishia kabisa japo kw aupande wangu sikuona ubaya niloufanya na mwandishi anajulikana na inazidi kumpanulia wigo mpana wa kutambulika na hadhira

Kibaya tungekua tunaweka majina yetu kweli hapo angetushtaki hatujabadilimajina kabisa sjaona shida, ingekua hivo shigongo asingetambulika kabisa.
 
Yeah kubadili jina ndio kosa kubwa lkn hapa watu wote wanaoleta story za watu wanazipost na majina ya waandishi original
 
nashindwa kuwaelewa hawa viumbe hawajui internet ni kama bahari hujui ni nani kwa wakat gani anasoma story na kuishare kwa wengine hasa kama unatupia online kama.hivi na ndio kujikuza kikazi anajijuta anajina kubwa lakini haendelei sababu ya sheria ngum kama hizi lakini haya japo sion kama itafanikiwa ngoja tuache tu kuzipost kaz zake.
 
Mimi nafikiri hofu yake ni kuwa watu wakisoma hapa watashindwa kununua kwake maana huwa anauza na kuna kiasi cha pesa kakipanga kwa kila story...ila kasahau kuwa kupitia hapa na social media nyingine ndo anapata kufahamika yeye kama patrick na kazi zake pia

Kwa mfano mimi baada ya kusoma baadhi ya story zake yake hapa nilimtafuta kwa namba yake kwa ajili ya kupata story nyingine na aliniuzia syory mbili...lakini chanzo chake ni hapa,kuna wangapi ambao wamefanya hivo natumai ni wengi.

Kinachotakiwa ni kuangalia kama yule anayeleta story hapa haelezi kuwa mtunzi ni nani au anabadiri na kujipa yeye title ya utunzi wa story ili hali sio yeye.
 
Huyu Patrick humu jf tusingemjua bila LEGE mwanzoni kabisa alituletea story ya peniela ndio kujua kuna mtu anaitwa Patrick akatuletea na story nyingine LEGE huyohuyo kwahiyo awe mpole tu ndio kujitagaza sio kutishia tishia watu humu
 
Hiki ndio me nakisema sababu ilishawah kunitokea kisa nimepost hadithi ambayo ina hatimiliki bad enough mtunzi ameshafariki sababu sipendi shari nikasema okay ikafutwa ile hadithi mana alireport had kwa mods na sjabadili hata jina la mtunzi nimeeka lile lile hii inasaidia kujua mtunzi na kaz zake na watu wakawa wanafwatilia kaz zake
 
Bora mtu ungekuwa haujaweka jina la mtunzi unaweka na jina kabisa
Hiki ndio me nakisema sababu ilishawah kunitokea kisa nimepost hadithi ambayo ina hatimiliki bad enough mtunzi ameshafariki sababu sipendi shari nikasema okay ikafutwa ile hadithi mana alireport had kwa mods na sjabadili hata jina la mtunzi nimeeka lile lile hii inasaidia kujua mtunzi na kaz zake na watu wakawa wanafwatilia kaz zake
 
Huyu Patrick humu jf tusingemjua bila LEGE mwanzoni kabisa alituletea story ya peniela ndio kujua kuna mtu anaitwa Patrick akatuletea na story nyingine LEGE huyohuyo kwahiyo awe mpole tu ndio kujitagaza sio kutishia tishia watu humu
Hata me nisingemjua kama sio kusoma hizo stoty umetaja hapo juu mama sasa tatizo hata sjaliona na ndio tunamsaidia kujulikana hivi, sikufichi kuna mtu aliwah kuniuliza hua unapost jf stories na anajua id yangu akasema kuna watu ofisini kwetu ni shabiki zako wanapenda kusoma nikawa naduwaa tu kuona kumbe sipostii watu wa jf tu hata wa nje huko wanasoma ndio mwandishi anavyojulikan kibaya ingeweka nimeeka mtunzi n madame s hahahahha
 
Mm story za Patrick toka lege aache kupost nanunua zote WhatsApp mpaka sasa na kikosi cha siri ndio nataka kuianza kwahiyo awe mpole tu angeongea kiustaarabu msisambaze kazi zangu sio kutishia watu utawakamata humu jf sio fb unaanzaje kumkamata mtu
Hata me nisingemjua kama sio kusoma hizo stoty umetaja hapo juu mama sasa tatizo hata sjaliona na ndio tunamsaidia kujulikana hivi, sikufichi kuna mtu aliwah kuniuliza hua unapost jf stories na anajua id yangu akasema kuna watu ofisini kwetu ni shabiki zako wanapenda kusoma nikawa naduwaa tu kuona kumbe sipostii watu wa jf tu hata wa nje huko wanasoma ndio mwandishi anavyojulikan kibaya ingeweka nimeeka mtunzi n madame s hahahahha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom