naingoja kwa hamu sehemu inayofata mkuu
Aisee, 'sehemu ya kumi' imenitoa machozi!
Sasa ndo imenoga jamaaa hapa javini maraia hatuondoki kabisaa hadi tuone nn mwisho wake kama mtafunga ndo na ntahodi
Wakora mno!
dah kdgo niache dokument zangu sehem kwa utamu wa hii riwaya unis2e ikiendelea