Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,365
- 18,152
Hadith nzuri
Kwema sana ndugu,Za leo Msimuliaji, sio vibaya kama utatuambia muda wa kushusha simulizi, ili tusichunguliechungulie sana hadi huo muda:
Au baada ya huo muda
Ni mara ya kwanza kusoma maoni yako kwenye uzi huu ndugu...Huyu naye kawa miyeyusho kama kina singanojr na Elton Tonny
Sawasawa...Ungeendelea tu kutupia double double kama zamani
Shukrani sana mkuu,Asante kwa kutujali wasomaji wako:
MnoooSafi sana naona mambo ni moto
Saa moja na saa nne usiku....kila siku kiongozi.Hii Riwaya hutoka kila siku saa ngapi?