Mkuu tupo pamoja, hivi Willy Gamba1 hakuwa miongoni kwa wale 190+?
Hapo sasa janja na janjuzi Joram kiango!!!
Watu gani hao mkuu? Mbona kama sielewi hilo la 190+?
Willy Gamba 1 mara yake ya mwisho kuitika jana na leo kundini ilikuwa
Join Date 5th January 2015 Last Activity 15th November 2015 14:09.
Hivyo huenda si mmoja wa hao 190+ japo sijakupata mkuu
cc. m2n
Kama last activity yake ni 15 Nov 2015, hahusiki naamini.
Watu gani hao mkuu? Mbona kama sielewi hilo la 190+?
Willy Gamba 1 mara yake ya mwisho kuitika jana na leo kundini ilikuwa
Join Date 5th January 2015 Last Activity 15th November 2015 14:09.
Hivyo huenda si mmoja wa hao 190+ japo sijakupata mkuu
cc. m2n
ooops! kumbe kuna mambo matamu yameanza tena? mbarikiwe kwa wito wenu
umerejea jamvinimkuu