Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

Status
Not open for further replies.
du! Hii simulizi nahitaji kitabu kabisa.ila asanteni wadau kwa ushirikiano mzuri.wa kutuletea simulizi hii jukwaani
 
Lege si tulishakuelewesha? Hivi vitabu wengi wetu tulishasoma enzi hizo sema tumesahau au tulikuwa wadogo tusioweza kufanya Uhakiki sasa inakuwa vyema tukiipata huku Riwaya hii sisimuzi.
Pia Lege bwana Mtobwa amefariki hao wanaopublish sasa hivi wananufaika wao wacha na sisi tunufaike huku.

Tembelea mpiganaji blog ili uongeze hamasa
Ukitaka kunufaika kwa jasho la mtu mwingine ni sawa na wizi na ni kosa kisheria. Ni muda mfupi tu umebaki, watu wote wanaoiba na kuandika vitabu hivi bila ruhusa kuingia mahakamani na kujibu mashitaka. ntamaholo na KudiKudi mtakuwa mfano wa wanaojinufaisha kazi za watu ndani ya mitandao ya kijamii. Pengine ni nyinyi pia mnaomiliki blogu hizo zinazotoa hadithi hizo. Asanteh LEGE kwa kuwaelimisha.
 
Sasa nameless girl kwa mfano nimekariri hiyo Riwaya kisha nikakusimulia kuna mtu atanishitaki? Mbona mnawatisha waleta burudani? Badala ya kukaa na kutafakari vile jamii inaelimika kiurahisi nye mnawaza fedha za kuuza kopi za marehemu Mtobwa. Kama mnadhani tunasoma bure hii riwaya mnakosea. Tunalipia Internet.
Mara ngapi umedownload video za Diamond na kuzituma wasapu kwa magrupu yako na hatuongei? Mara ngapi unakodisha muvi kisha unaalika ndugu zako Kama kumi hivi mnaangalia wote? Na baada ya kutazama muvi hiyo utampatia Jirani yako naye aitazame bila haya. Kisha uje kututishia huku. Tutembelee Mpiganaji Blog kwa wingi ili kurasa zije huku.
Kila la kheri wadau wote wa Riwaya Pendwa za Ben Mtobwa na Musiba.
 
Unaelewa nini kitabu kinapoandikwa 'Hairuhusiwi kuiga, kutafsiri, kupiga chapa wala kukibadili kitabu hiki kwa njia yoyote bila idhini ya HEKO Publishers Ltd.' Unadhani mpaka kwenda kwenye mataasisi na kupewa ISBN namba, hawakutazama watu wa aina yenu?
 
basi nimeacha, maana hadi Mpiganaji nahisi amepunguza kasi kutuletea uhondo. namba zake zimeambatanishwa, chukua umpigie akupe ufafanuzi
 
Unaelewa nini kitabu kinapoandikwa 'Hairuhusiwi kuiga, kutafsiri, kupiga chapa wala kukibadili kitabu hiki kwa njia yoyote bila idhini ya HEKO Publishers Ltd.' Unadhani mpaka kwenda kwenye mataasisi na kupewa ISBN namba, hawakutazama watu wa aina yenu?
Na wewe unavyoita ndugu zako mcheki muvi mloi-burn na kisha kupatia ndugu zako.
Mbona hatusemi? Wewe unafanya kazi HEKO?
 
af umewahi kuniona mimi nakodisha cd? unadhani mimi ni kama wewe nisiyejali jasho la mtu?
 
Sasa nameless girl kwa mfano nimekariri hiyo Riwaya kisha nikakusimulia kuna mtu atanishitaki? Mbona mnawatisha waleta burudani? Badala ya kukaa na kutafakari vile jamii inaelimika kiurahisi nye mnawaza fedha za kuuza kopi za marehemu Mtobwa. Kama mnadhani tunasoma bure hii riwaya mnakosea. Tunalipia Internet.
Mara ngapi umedownload video za Diamond na kuzituma wasapu kwa magrupu yako na hatuongei? Mara ngapi unakodisha muvi kisha unaalika ndugu zako Kama kumi hivi mnaangalia wote? Na baada ya kutazama muvi hiyo utampatia Jirani yako naye aitazame bila haya. Kisha uje kututishia huku. Tutembelee Mpiganaji Blog kwa wingi ili kurasa zije huku.
Kila la kheri wadau wote wa Riwaya Pendwa za Ben Mtobwa na Musiba.
mkuu hayo yote uliyo yaandika HAPO JUU ni makosa na hata kitendo cha watu kuziandika hizo story humu ni kosa kubwa sana yaani hata ww ongea na fanya ujanja wote lakini utakapo bainika sheria ipo na itachukua mkondo wake na itakukata.wewe sema unataka kitabu gani utatafutiwa mbona vipo sana na hata kama utakuwa mkoani wapi utatumiwa tuu ni pesa yako wanatumiwa watu vitabu njea ya nchi iwe ww hapahapa tanzania??

mm naomba tuwasapport waandishi wetu na watunzi wetu vitabu vyenyewe sio garama sana ni elfu 10 mpaka 7 na 5 .
 
Ukitaka kunufaika kwa jasho la mtu mwingine ni sawa na wizi na ni kosa kisheria. Ni muda mfupi tu umebaki, watu wote wanaoiba na kuandika vitabu hivi bila ruhusa kuingia mahakamani na kujibu mashitaka. ntamaholo na KudiKudi mtakuwa mfano wa wanaojinufaisha kazi za watu ndani ya mitandao ya kijamii. Pengine ni nyinyi pia mnaomiliki blogu hizo zinazotoa hadithi hizo. Asanteh LEGE kwa kuwaelimisha.

Basi tuambie hivyo vitabu vinapouzwa tukanunue tusome wenyewe
 
af umewahi kuniona mimi nakodisha cd? unadhani mimi ni kama wewe nisiyejali jasho la mtu?
Nawasiliana na invisible aifute, wakuu tukatafute vitabu japo niliko huku si rahisi kuvipata. Labda mpaka nije mjini
 
Si lazima aufute. Uachie hapa ili watakaovutiwa wanunue vitabu. Japo hutalipwa kwa matangazo anyway.
 
du! Hii simulizi nahitaji kitabu kabisa.ila asanteni wadau kwa ushirikiano mzuri.wa kutuletea simulizi hii jukwaani
mkuu upo wapi ww kwani kama upo dar uelekezwe mahali pa kuvipata hivyo vitabu au kama upo mkoani tukutumie
 
Basi tuambie hivyo vitabu vinapouzwa tukanunue tusome wenyewe
ukitaka hivi vitabu kwanza wasiliana na nameless girl said au kwenye kituo cha daladala cha zamani cha magari yaendayo mbagara k/koo kuna jamaa hapo anapanga vitabu utavikuta vingi tuu au posta kuna duka moja lipo karibu na sanam la askari unavipata au kinondoni konani kwenye kona ya riwaya hapo ndio jikoni kuna riwaya chungu mzima
 
"Tukutumie"
Ndo maana unakomaa hapa unajifanya mpigania haki za binadamu kumbe huna lolote.
Conflict of interest
hahahaha mkuu kutumiwa ndio imekutoa imani?? kwa bahati mbaya mm sio muuzaji au sifanyi biashara ya vitabu ila nimsomaji wa riwaya kama utakuwa na mda ww njoo tuu kwenye ka stoo kangu kavitabu usome .harafu vitabu vyenyewe kama hicho cha salam toka kuzimu ni shilingi 7000 so kama vipi sema upo dar sehem gani kama karibu nampa boda boda akuletee utampa hera ya usafiri au kama waweza tuwasiliane mm nipo mwenge njoo uchukue bureee kabisa au kama waweza pita pale kinondoni kwenye duka la riwaya konani utakipata.

hapo kutumiwa ilikuwa ni msaada tuu wa ki JF coz ss wengine tusha saidiwa sana humu so why nasi tunapoweza tusisaidie?
 
Mkuu ntamaholo endeleza uhondo hadi gavoo itoe elekezi maana nameless girl na lege wanaleta ulanguzi.
mkuu uranguzi upi tena? mm nimewaelekeza kwa kuvipata vitabu sijasema mje kununua kwangu au mm naviuza but nayafaham machimbo mengi ya vitabu sababu ni mpenzi sana wa kusoma riwaya tena sio wa kuazima au fuatilia hapa jf huwa nanunua mwenyewe .nimesoma vitabu vingi sana vya joram kiango na ninafaham wapi naweza vipata hata huyu nameless girl said nishanunua vitabu kwake aliniagizia sijawahi onana naye na wala simfaham kwa sura. so usifikilie wote ni walanguzi au tunamawazo kama yako mkuu.kama hujui utakipata wapi kitabu hiki cha hii story ya salam kutoka kuzimu posta na k/koo nilipita na nikaviona na sijamuuliza kama nameless girl said anavyo pia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom