Muita jamaa Basi aweke bonusImeishia patamu
Nimeingia jikoni nakula viporo kimya kimya
Hahahaa, natamani kuweka hata zote mpaka mwisho kwa pamoja, tatizo mambo mengi mkuu. Ila nna uhakika Jumamosi hii tunamalizana kabisa na sala ya SarahLegend wenzio kazi hazifanyiki, hadi tupate sala ya Sarah kitu roho inapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa moyo wako kwa kweli unatutendea haki, sio kama waleta story wengineHahahaa, natamani kuweka hata zote mpaka mwisho kwa pamoja, tatizo mambo mengi mkuu
the Legend☆
Tuko pamoja mkuu. Kimsingi hii riwaya ina sehemu 70, kwa sasa tupo sehemu ya 64, bado 6 tu tumalizane nayo. Nilipanga kesho niweke 3, na Jumamosi 3 shughuli iishe.Tunashukuru kwa moyo wako kwa kweli unatutendea haki, sio kama waleta story wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteeeee ukipata mda zimalize tu zote bwanaTuko pamoja mkuu. Kimsingi hii riwaya ina sehemu 70, kwa sasa tupo sehemu ya 64, bado 6 tu tumalizane nayo. Nilipanga kesho niweke 3, na Jumamosi 3 shughuli iishe.
Ila ratiba zikikaa vizuri naweza nkaweka nyingine baadae tuendelee kuzipunguza
the Legend☆
Hahahaa, usiwazeAsanteeeee ukipata mda zimalize tu zote bwana
Ndio mana nakupenda dear wanguHahahaa, usiwaze
the Legend☆
Ahhahahah umeanzaYaani unavyojua kubembeleza hadi raha...
Kusoma ni kufahamu ...hii kukesha ni.mbwembwe tu!Una uhakika gani wanakula kwa mahandishi eti
" Eti " wana sema " eti "..Eti alikua anauliza kama umeridhika kutowekwa episode nyingine mda ule, ndo nkamwambia we ni muelewa, huna shida
the Legend☆
Weye linda mgomba hivyo hivyo..swali zuri, ndo maana nakupendaga
the Legend☆
Hahahahahaaa