the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
- Thread starter
- #581
Pale alivyowanyooshea bastola taita na trigger ulipasoma?Mbona jana nilisoma mwisho niliishia trigger alivyoenda hospital kuchukua majibu
the Legend☆
Pale alivyowanyooshea bastola taita na trigger ulipasoma?Mbona jana nilisoma mwisho niliishia trigger alivyoenda hospital kuchukua majibu
Mh ebu ngoja nirudi ukoPale alivyowanyooshea bastola taita na trigger ulipasoma?
the Legend☆
Basi hiyo ndo hujaisoma dear. Cheki #494 ndo hiyo nahisi hujaisomaMh ebu ngoja nirudi uko
Hahahahaa, tayari mda sana
Ebu uko
kwa kufukua makaburi hujambo

Kweli nilikua sijaisoma ndio nimetoka kuisomaBasi hiyo ndo hujaisoma dear. Cheki #494 ndo hiyo nahisi hujaisoma
the Legend☆
Si ushaelewa mambo yalivyoenda?Kweli nilikua sijaisoma ndio nimetoka kuisoma
Nimeshaelewa sasa tuendelee jamaniSi ushaelewa mambo yalivyoenda?
the Legend☆
Ndo naandaa episode nyingine hapa, soon naishushaNimeshaelewa sasa tuendelee jamani
Unaishusha mda huu?Ndo naandaa episode nyingine hapa, soon naishusha
the Legend☆
Nimeshaelewa sasa tuendelee jamani