Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Dear endelea basi[emoji2][emoji2]ntampa Trigger akuletee chap
the Legend☆
Dear endelea basi[emoji2][emoji2]ntampa Trigger akuletee chap
the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23]nishampa akuletee. Afu nimeona katoka na ile bastola yake, ambayo akiinyoosha haishushi mpaka itoe risasi
[emoji23][emoji23][emoji23]nishampa akuletee. Afu nimeona katoka na ile bastola yake, ambayo akiinyoosha haishushi mpaka itoe risasi
the Legend☆
Nitampa kingine
si ulitaka namba, mbona unakimbia?[emoji2][emoji2]
si ulitaka namba, mbona unakimbia?[emoji2][emoji2]
the Legend☆
Muendelezo kesho asubuhi mkuu, mapema tuMkuu the_legend Kuna muendelezo usiku huu au mpaka kesho?
Tujuze tujue Kama tuhamie chimbo lingine au vipi
Basi ngoja nicheki na Ray charles wa upande wa pili akuletee
[emoji38][emoji38][emoji38]sijaifaham ajenda yako mpk ssBasi ngoja nicheki na Ray charles wa upande wa pili akuletee
the Legend☆
[emoji2][emoji2][emoji2]agenda yangu ni kuhakikisha usalama wa hiyo namba mpaka itakapokufikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah..embu ngoja nisave bundle la kesho[emoji2][emoji2][emoji2]agenda yangu ni kuhakikisha usalama wa hiyo namba mpaka itakapokufikia
the Legend☆
Nadhani itakuwa pipi tam!!!Kingine kipi bibie..!?
Hahahahaa. Nlikua sijaiona hiyothe_legend unataka kusema hujaiona hii kauli toka kwa dear wako..!?
Wewe weka usijivunge, sitakuona dhaifu nitajua ni kaupendo....
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Nitampa kingine