Kongole mkuu, nimeifuatilia Riwaya mpaka sehemu ya 50, itoshe tu kusema ni Riwaya bora kuliko nyingi nilizowahi kusoma.Are you ready?
Tunaendelea...
Pia kitabu kipo tayari!
Nicheki kwa 0719401968 ujipatie nakala yako mwanzo hadi mwisho!
Mtunzi wa hiyo riwaya kaniambia niishie hapohapo.Kongole mkuu, nimeifuatilia Riwaya mpaka sehemu ya 50, itoshe tu kusema ni Riwaya bora kuliko nyingi nilizowahi kusoma.
Naomba uendelee kama hautojali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho ni epsode ngapi? Nataka kununua soft copyMtunzi wa hiyo riwaya kaniambia niishie hapohapo.
Pages around 450Mwisho ni epsode ngapi? Nataka kununua soft copy
You pay we send papo kwa hapo! Wait ushuhudanani kanunua soft copy alete ushuhuda!
nani kanunua soft copy alete ushuhuda!
Nitumie niiweke huku chap tuNimenunua mimi..natafuta namna ya kuiupload humu
kama upo Dsm kinakufikia mpaka malngoni
OK nipe mawasiliano yako mkuukama upo Dsm kinakufikia mpaka malngoni
0719401968
Nimenunua mimi..natafuta namna ya kuiupload humu
Tuma buku tano mkuu 0719401968
hapana not fair n my lead to legal actions na kwann u ki upload hata mie nakitamani saaaana lakini acha tupambane tukinunue mbona katufanyia fea sana mkuu futa wazo futa nia futa kauli sio tu kuaplodi usimtuie mtu yeyote hata mie nikija pm nishushueNimenunua mimi..natafuta namna ya kuiupload humu