Riwaya: 'Njama'

Riwaya: 'Njama'

Mkuu heshima kwako,nasubiri hofu na kijasho chembamba!
 
"Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai, nilishangaa kidogo Chifu aliponiamuru nikafuatilie tatizo la upotevu wa almasi kule Mwadui, Shinyanga. Kama isingekuwa kwa sura aliyoonesha, ningemwambia apeleke malalamiko yake kwa Kamishna wa Polisi au aniamishe kwenda huko kama alikuwa hanihitaji katika idara yake. Hata hivyo, sikuwa na la kufanya ila kukubali..."

Dah! Long time sana aisee; ingawaje huenda hiyo paragraph sijaipatia kwa 100% lakini bado content yake hadi leo naikumbuka ingawaje nimesoma mamiaka kadhaa yaliyopita!!
 
Kuna mdau kajitokeza kule jukwaa la Sports and entertainment specifically entertainment ameanza kuweka riwaya ya HOFU
Cc. MAPIKIPIKI pono
 
Last edited by a moderator:
NasDaz kimbia jukwaa la entertainment hofu ipo kule kuna mdau kaanza kuirusha Hofu'
 
Last edited by a moderator:
NasDaz kimbia jukwaa la entertainment hofu ipo kule kuna mdau kaanza kuirusha Hofu'
Ya juu sio hofu hiyo mzazi... ni Kikomo! Hofu ni pande fulani za A-Town ambako Willy alikutana na Maninja... sema dah, baada ya Njama nai-feel sana Kufa na Kupona!
 
Ya juu sio hofu hiyo mzazi... ni Kikomo! Hofu ni pande fulani za A-Town ambako Willy alikutana na Maninja... sema dah, baada ya Njama nai-feel sana Kufa na Kupona!

Kabisa hofu ni ishu ya maninja arusha na nadhani kimetoka mwishoni mwa miaka ya 80 mkuu...i mean kimetanguliwa na Njama Kikomo Kufa na kupona na Kikosi cha kisasi kama sikosei
 
Kabisa hofu ni ishubya maninja arusha na nadhani kimetoka mwishoni mwa miaka ya 80 mkuu...i mean kimetanguliwa na Njama Kikomo Kufan na kupona na Kikosi cha kisasi kaka sikosei
You're right... kwa zile nondo zake za ukweli, nadhani Hofu ilikuwa ndiyo nondo yake ya mwisho kabla hajatoa riwaya ambayo ilizungumzia mauaji ya Kimbali ya Rwanda...
 
Aisee, umenikumbusha mbali sana hii novel, thanks
 
You're right... kwa zile nondo zake za ukweli, nadhani Hofu ilikuwa ndiyo nondo yake ya mwisho kabla hajatoa riwaya ambayo ilizungumzia mauaji ya Kimbali ya Rwanda...

Ile ya mauajinya Kimbari inaitwa Uchu mkuu nadhani ninacho.
 
Ile ya mauajinya Kimbari inaitwa Uchu mkuu nadhani ninacho.
KABISAAA! Manake nilikuwa najaribu kukumbuka jina lake, lilinitoka kabisa na sidhani kama ningekumbuka manake nilikisoma mara moja tu na kilivyopotea potea hadi leo hii sifahamu! Si unajua enzi zile, unakuta mtu anakuazima novel, uliyemwazima na yeye anamwazima mwenzake... mwenzake na mwenzake hadi kinapotelea kusikojulikana.
 
Back
Top Bottom