Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Weee nami sawa miye nilikisoma 1988 yaani nakisoma alafu naogopa nazima taa nalala kesho naendelea.Hi kitu niliisomaga mwaka 1986 na kuirudia tena mwaka 1987 nikiwa msingi. Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Michael Chabili, sijui hata yupo wapi? Ndiye nilikua nasoma nae vitabu hivi vya Willy Gamba
Popote ulipo Michael please, ni PM tu ili tukumbushane mambo yetu ya zamani zile tukiwa msingi
Mshirika wangu alikuwa Abuu, mpk leo yupo na mwaka huu nimemtumia kitabu nikamkumbusha enzi zetu za utoto.
Maisha bila TV wala Video hayo.