WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Shukrani..jipange kupata 'HOFU' very soon
Shukrani..jipange kupata 'HOFU' very soon
Shukrani..jipange kupata 'HOFU' very soon
Shukrani mkuu, story nzima ipo nina wasiwasi nikiiweka yote kwa pamoja kama itawachosha kusoma. Ila kama mtaridhia sita shindwa kuimwaga yooote mjinafasi kwa raha zenu,mna maoni gani? Nasuburi maoni yenu.
Shukrani..jipange kupata 'HOFU' very soon
Mkuu mbona imejieleza kabisa hapo mwisho kwa neno TAMATI?! Imeisha mkuu tujipange tu na ujio mwingine wa Willy Gamba katika HOFU.
Naamini nimekata kiu yenu wakuu,,tukutane tena kwa ajili ya riwaya ya HOFU
Naamini nimekata kiu yenu wakuu,,tukutane tena kwa ajili ya riwaya ya HOFU
Naamini nimekata kiu yenu wakuu,,tukutane tena kwa ajili ya riwaya ya HOFU
Sana mkuu yaani sina maneno ya kuelezea shkuraniz angu kwa kutuletea tena riwaya hii ambayo niliisoma nikiwa mdogo an sasa nimepata nafasi ya kuisoma tena...imekuwa kama mpya!
yaani siweze kusubiri mambo ya HOFU na uninja wa Willy Gamba ndani ya Arusha!
tafadhali mkuu tuwekee uhondo