Riwaya: Nitakupata tu

Kazi ya Mungu haina makosa , Mungu awafariji wote walioguswa
 
Hivi mnauhakika lkn Mondray !!
Nini kilikuwa kinamsumbua??jmn mwenye taarifa kamili mi sikuelewi hapa kwakweli

Kuna thread aliweka humu kitambo kidogo akiomba ushauri kwamba ammpenda changudoa na ameshindwa kumuacha! Dah sijui ngoma ndo imemuuwa. R.I.P
 
Soma
Hivi mnauhakika lkn Mondray !!
Nini kilikuwa kinamsumbua??jmn mwenye taarifa kamili mi sikuelewi hapa kwakweli
Soma post za nyuma utaona tatizo nn, pia angalia status yake mods wamebadili kutoka kwenye Jf Expert member to RIP.
Tatizo pumu kama sijakosea..
 
Kak
Kaka kama ni kisiwani ya kigamboni pliz ni PM namba yako japo nikaage. Daaah huyu jamaa ukiangalia alichoandika jana kwenye fb ni kama alikuwa anaaga. Alikuwa ni nabii wa kifo chake. Ni watu wachache sana ambao mungu anawabariki maono hayo. Ee Mungu naomba umpe pumziko la kheri mwa JF mwenzetu. Ingekuwa vizuri jamii yetu ya JF tungemfanyia kitu kumsindikiza ndugu yetu.
 
Daaah. Alikuwa kama anaaga kabisa
 
Swali ni je hawa aliowaandika hapa wamepokeaje kifo chake? Its pain enough
 
So sad Edo
 
Ibra umetutoka wakati una ahadi kwetu
Mungi kwann umemchukua ibra wakati bado tuna muhitaji sana

Ibta nalia sana kwa ajili yako kuna jambo nili ahidi kwako sijalifanya ili den kwaku nani nimpatie ibra kwann ww

Dr yaanu mumeshindwa kwa ibra???? Kweli si amin ibra njoo tafadhali ibra ibra
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…