Riwaya: Niacheni nikufuru

Riwaya: Niacheni nikufuru

Sa hivi jukwaa limekuwa useless !!!
Watu wàpo humu kujifanyia promo tu kwa kushusha viepisode vichache then wanasitisha na kutangaza bei......
Stori zote hazifiki mwisho kama zamani.
Sure asee sikutegemea tutaachwa solemba ghafla kiasi hiki
 
Au ni copied somewhere jamaa kala biti?
Ndio mchezo uliopo sasa!!
Mnaanza vizuri tu mkono kwa mkono ila kukianza kunoga wanachomoa betri ña kuweka contact number tulipie !!
Bora waseme tangia mwanzo kwaamba wanaweka Trailer tu ila story yenyewe inauzwa watu wakaelewa fresh na si kwa mtindo wafanyao.
 
Sure asee sikutegemea tutaachwa solemba ghafla kiasi hiki
Ndiyo maana wengi wamegeuka ghost reader........
tena wanachunğulia zile completed(zilizofika tamati) ndio waanze kuzisoma yaani hawana mpango kabisa na ongoing stories
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom