Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Thanx mkuu The Prover ila unatubania mkuu vipande kidogo kidogo sanaaa

Natamani nitume vipande vyote hapa vilivyobakia. Ila changamoto ni kwamba natumiwa kipande kimoja kila siku. Inaonekana bado haijakamilika kutungwa.Arosto sana mkuu
Jana uliahidi nin?Natamani nitume vipande vyote hapa vilivyobakia. Ila changamoto ni kwamba natumiwa kipande kimoja kila siku. Inaonekana bado haijakamilika kutungwa.
Nimeweka vipande viwili leo.
Thanx mkuu The Prover story inazidi kuwa tamu asee jitahidi kutupiamo na vipande vingineNimeweka vipande viwili leo.
Tuko pamoja. Endelea kuelimikaMara ya kwanza nilidharau kusoma lkn kumbe hii nayo ni simulizi na elimu tosha na haya ndo maisha tunayoyaishi ktk dunia ya sasa asante sana ndg ulieleta hii elimu yenye uchungu ndani yake
Mkuu hii kitu inazidi kuwa tamu asee daaah bonge la storyRIWAYA: NIACHENI NIKUFURU
MTUNZI: FAHAD MUSSA
EMAIL: fahadmussa55@gmail.com
SEHEMU YA KUMI
Kituo kikuu cha polisi-Dodoma
..........."Mungu wangu, kazi ya Bosi. Haaaa kazi ya Bosi, mamaaa kazi ya Bosi sijaifanya. Aah aah aah, nitajieleza nini mimi?", hakika nilipagawa haswa, sikujali kama mahabusu wenzangu walikuwa wakiniangalia ama la, nilizidi kujiongelesha peke yangu ndani ya chumba cha selo na kukaa kitako. Nilikumbuka kuwa nilipewa majukumu na Bosi wangu ya kuimaliza kazi ya kuandaa nyaraka mbalimbali katika kompyuta. Ni kazi niliyotakiwa kuifanya ndani ya siku tatu tu kisha niikabidhi kwake. Ila leo ni siku ya tatu tangu niondoke pale nyumbani. BALAA
.........."Johnson Alfredy Nzagamba", sauti iliita mara ya kwanza kwenye selo ya mahabusu wanaume.
..........."Johnson Alfredy Nzagamba", sauti iliiita mara ya pili.
..........."Nipo Afande", nilikurupuka ghafla kutoka kwenye lindi la mawazo. Nliitika kwa nguvu baada ya kusikia jina langu likiitwa. Ni takribani siku mbili zilipita tangu nilipopoteza fahamu kule kwa yule mjinga aliyeniibia mke, ila ni siku tatu zimepita tangu niondoke nyumbani kwangu. Kama ulikimbia hesabu basi hautojua ni siku ipi nilizinduka.
............"Hebu kuja huku nje upesi", yule afande aliongezea.
Nilikurupuka mahali nilipokaa na kuelekea kwenye geti la mahabusu, afande alilifungua geti na mimi nikapita. Tulielekea moja kwa moja kwenye chumba fulani ambapo niliwakuta maafande watatu na rafiki yangu Godfrey. Godfrey alikuja kuniwekea dhamana.
............"Yani lijitu linajiita 'Nzagamba' (Ng'ombe dume) ila halina hata hadhi ya kuwa 'Mbogoma' (Ng'ombe jike)", afande mmoja kati ya wale watatu aliongea kwa ukali huku akiniangalia punde nilipoingia.
........."Unatutunishia misuli eeh, afande anaongea huku wewe umesimama. Adabu ya wapi hii" Afande mwingine alidakia huku akinisukuma ili nichuchumae. Nilitii amri, nikachuchumaa huku wao wangali wamesimama.
.........."Unamfahamu huyu aliyeko mbele yako?" Afande mwenye cheo kikubwa kushinda wote kati ya wale watatu ambae alikuwa kimya tangu niingie pale aliniuliza.
........."Ndio namfahamu. Ni mfanyakazi mwenzangu. Anaitwa Godfrey Haule" nilimjibu kwa kirefu. Kabla hata sijakaa vizuri, nilipigwa kofi la mgongoni na afande mwingine mwenye cheo cha "Koplo"
............"Jibu swali uliloulizwa, acha kiherehere cha kujifanya unajua kujieleza", aliongezea.
Yule afande mwenye cheo kikubwa hata hakuonesha kujali tukio la mimi kupigwa kibao cha mgongoni, bali aliendelea kuzungumza.
........"Amekuja kukudhamini, na taratibu zote amekamilisha. Tunakuachia urudi mtaani ila kwa shariti moja, acha vurugu. Ukiletwa tena hapa utajuta"
.........."Ndio afande nimekuelewa" nilimjibu. Baada ya mazungumzo hayo mafupi tulitoka ndani na kuelekea mapokezi ambapo kulikuwa na vitu vyangu vilivyohifadhiwa pale siku nilipoletwa. Niliacha simu janja(Smartphone), saa, na waleti yangu. Kila kitu kilikuwa kimehifadhiwa vizuri na hakuna kilichopotea. Nilichukua vitu vyangu na kuruhusiwa kutoka nje ya kituo kile. Na kwa majira ilikuwa ni saa saba na ushee mchana.
.........."Pole sana kaka kwa matatizo yaliyokukuta, changamoto ni sehemu ya maisha" Godfrey alianzisha mazungumzo punde tulipoingia kwenye gari lake.
..........."Ahsante ndugu yangu, nimeshapoa. Ulijuaje kama niko kituoni", nilimjibu na kumuuliza swali.
.........."Leo asubuhi Idris amenipa habari zako, amesema ulimpiga mkeo. Mkeo ndo akaamua kuja kukufungulia mashtaka ya kumjeruhi" Godfrey alinijibu huku gari likiwa limeanza kutoka pale kituo cha polisi.
Sikujibu kitu ingawa nilishtuka sana baada ya kusikia kwamba eti mke wangu ndo amenipeleka 'lock-up'. Idris aliamua kumuongopea Godfrey kwa manufaa yapi?. Wakati nakumbuka nilikamatwa na polisi nikiwa nyumbani kwa Idris na yeye bila shaka ndie aliepiga simu polisi. Ila ajabu ni kwamba anasema eti mke wangu 'Jackline' ndie aliyenifungulia mashtaka.
Safari iliendelea tukiwa kimya kabisa ndani ya gari bila kuongeleshana. Safari iliishia kwenye mgahawa mmoja uitwao 'Free Point'. Tulishuka garini na kuelekea ndani ya mgahawa. Tukachagua sehem ya kukaa na hatimae muhudumu alikuja kutuhudumia. Mimi niliagiza wali Sangara na sharubati ya baridi. Godfrey aliagiza chipsi kuku na soda ya Coke.
Mazungumzo yakaanza upya tukiwa tunakula.
..........."Ilikuwaje tena rafiki yangu hadi waifu akaamua kukutupa selo", God aliniuliza.
Nikanyamaza kidogo kisha nikazungumza. "Ni stori ndefu kaka, ila ukweli ni kwamba aliyenitupa selo ni Idris, sio waifu"
.........."Haaaa, mbona munanichanganya sasa. Idris alikutupaje?", God aliuliza.
Ilinibidi nianze kumueleza Godfrey tukio zima tangu siku ya kwanza Roida aliponiomba waondoke na mke wangu ili akapajue kwao hadi siku ya tukio la mimi kumpiga mke wangu.
............."Duuuh, kumbe ndivyo ilivyokuwa?. Sasa Idris na yeye kwa nini aliamua kukufanyia huo unyama wa kutembea na mke wako" Godfrey aliongea kwa masikiti
.........."Daah, ndo hivyo kaka, ila sahizi nikirudi tu hom sitaki tena kumuona huyu mwanamke. Namuacha aendelee na maisha yake. Nimeumia God, inauma sana kugundua kuwa mke wako anatembea na mwanaume mwingine, tena mwanaume mwenyewe ni rafiki yako wa karibu", niliongea huku nikiwa na huzuni.
.........."Vumilia Broo, subiri tufike home alafu tutajua nini cha kufanya", Godfrey aliongea kisha tukaendelea kula. Tulipomaliza kula, Godfrey alilipa bili kisha tukaondoka kuelekea nyumbani kwangu.
NYUMBANI KWA IDRIS
Jackline amelala kwenye sofa na kanga moja tu, ndani hajavaa chochote, huku uso wake akiwa ameuegemeza mapajani mwa Idris. Idris nae anaonekana akimkanda kanda Jackline kwa maji ya moto maeneo ya usoni ambayo yaliumizwa kwa kipigo alichokipata kutoka kwa Johnson.
........"Baby, yule shetani mi simtaki tena. Ona ameniharibu usoni" Jackline aliongea kwa kudeka huku akikaza uso kutokana na maumivu ya kukandwa.
........."Usijali, tumeshampa adhabu yake. Atakaa mahabusu kwa siku tatu ndipo ataachiwa. Nishaongea na rafiki yangu ambae anafahamiana na mkuu wa kituo wa pale" Idris alimfariji Jackline huku akiwa amemaliza zoezi lake la kumkanda.
........"Ila honey, sio siri nahisi furaha sana kuwa na wewe kuliko kukaa na yule mjinga asiyejua mapenzi. Naomba uwe wangu Idris, nakupenda sana", Jack aliendelea kuzungumza huku akimkumbatia Idris.
.........."Usijali, mimi ni wako. Nakupenda pia", Idris alijibu.
.........."Vipi kuhusu Roida, naomba umuache ili uwe na mimi. Sitaki uendelee nae", Jackline aliongea.
.........."Usijali, Roida ntamuacha 'soon'. Nipe mwezi mmoja tu nitakuwa nimemuacha", Idris alijibu.
........."Poa honey, nakupenda sana", Jack alijibu huku akisimama na kupeleka mdomo wake kwenye papi(lips) za Iddy, nae Iddy akausogeza mdomo wake na kukutanisha na papi(lips) za Jack na kuanza kubadilishana mate.
Zoezi halikukomea hapo, Idris akaanza kuupeleka mkono wake taratibu maeneo ya ikulu ya Jackline ambapo palikuwa hakuna kufuli na kuanza kumsugua sugua kwa vidole vyake. Mkono mwingine nao ulikuwa na jukumu la kuminya minya matiti malaini ya mlimbwende huyu.
Jack nae hakuwa nyuma kwenye kujibu mapigo, palepale sofani, akajipinda kama nyoka na kuanza kufungua zipu ya suruali ya Idris, akamtoa babu wa Idris na kuanza kumchezea chezea huku akimsifia Idris kwa kubalikiwa kuwa na Dudu kubwa, mara tatu zaidi ya kibamia cha mume wake 'Johnson'
Baada ya dakika kumi zoezi likabadilika na maangamizi yakaanza rasmi. Jack alishusha mguu mmoja chini ya sofa, na mwingine aliupandisha juu ya sofa, kanga ikaanguka na kusababisha kabibi kake kalikonyolewa vizuri kuonekana. Hakika Jack ameumbika, titi zake ndogo zilizosimama vizuri, pamoja na ta***k lake kubwa vilimfanya avutie zaidi. Idris alivua suruali na boksa na kujilaza chali huku akipitisha mguu mmoja katikati ya miguu ya jackline na mwingine ukiwa pembeni kidogo. Sasa wakawa wanaangaliana. Jack yuko juu na Idris yuko chini. Jack alimchukua babu wa idris na kumuingiza ndani ya bibi wake. Hakika alikuwa amelowa haswa. Ni kelele tu na staili mbali mbali ndizo zilikuwa zikishuhudiwa ndani ya ile sebule.
(SIJUI KILICHOENDELEA)
OFISINI
............"Zainabu, naomba unichapishie hii barua, alafu udurufu nakala kadhaa, uziwasilishe kwa kila mkuu wa Idara ukiwaeleza kuwa JOHNSON ALFREDY NZAGAMBA sio msimamizi tena wa Idara zote hapa ofisini na wala si mfanyakazi tena wa ofisi hii. Kanitia aibu sana huyu kijana. Mimi nitaenda kuieleza nini leo Bodi ya wakurugenzi. Shenzi kabisa huyu. Na sitaki kumuona akikanyaga hapa", Bosi alifoka kwa hasira huku akimkabidhi katibu muhtasi wake karatasi aliyoiandika kwa mkono ili aichape kwa mashine na kudurufu nakala kazaa.
..........."Sawa Bosi nimekuelewa. Naichapa sahizi", Zainabu alitii amri ya Bosi wake na kuipokea ile karatasi.
Bosi alirudi ndani ya ofisi yake huku akimuacha Zainabu akiandaa nakala. Bosi alifura kwa hasira. Hakujua ataenda kuwaeleza nini wajumbe wenzake katika mkutano wa bodi ambao ulitakiwa kufanyika siku hii ya Alhamis. Kazi aliyompati Johnson ndio kazi iliyokuwa ikisubiriwa kujadiliwa na wajumbe wengine katika kikao cha bodi ya wakurugenzi wa Chama cha Wazabuni wa Ununuzi wa Vifaa na Huduma Mtambuka serikali (WVHM) tawi la Dodoma Jiji.
Ofisi anayofanyia kazi Johnson inahusika na Uzabuni wa kutoa huduma za ununuzi wa vifaa na huduma mtambuka serikalini (VHM) ambayo inafanya kazi chini ya "Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA). Kwahiyo ofisi yao inajukumu la kutafuta tenda mbalimbali zinazotolewa na serikali kwenye miradi mbalimbali kuanzia ukandarasi wa barabara, madaraja, majengo na huduma za Taasisi nyingine za umma na pia kununua vifaa na nyezo hitajika katika miradi husika.
KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI (WVHM)
Mwenyekiti wa bodi ya chama cha Wazabuni wa Ununuzi wa Vifaa na Huduma mtambuka serikalini (WVHM) Jiji la Dodoma, Mr Abbas Jamal alifungua kikao kwa kutoa salamu na kuelezea majukumu ya chama chao, mafanikio, changamoto, malengo na matarajio ya chama. Hatimae akamkaribisha karani wa chama ambae alieleza shughuli zote zilizofanywa na chama yakiwamo mapato na matumizi ya chama. Baada ya maelezo hayo mafupi alikaribishwa katibu wa chama, Mr Hassan Msangi (Bosi wake Johnson). Kwanza alianza kusifia maendeleo ya chama chao na kusisitiza mshikamo wa wajumbe ndani ya chama katika kutatua changamoto mbalimbali.
Baada ya maelezo yake ya utangulizi, akaingia sasa katika lengo kuu la kikao kile ambalo ni kujadili nyaraka zinazohusu tathmini ya manunuzi na mahitaji ya rasilimali vitu na watu katika mradi mkubwa wa nyumba za Serikali Dodoma.
........."Kwanza kabisa ningependa kuchukua nafasi hii kuwaomba msamaha kwa mara ya pili wajumbe wenzangu. Niliwaahidi kuwa hadi kufikia leo zile nyaraka za makadilio na tathmini za ununuzi wa vifaa na rasilimali watu za nyumba za serikali hapa Dodoma ningeziwasilisha leo", Mr Hassan Msangi alitoa ufafanuzi kisha akanyamaza kidogo kuwapa nafasi ya kutafakari wajumbe wenzake, kisha akaendelea.
.........."Kwa bahati mbaya ni kwamba, yule kijana mchapakazi tuliyemtarajia akamilishe zile nyaraka amepatwa na matatizo tena. Kuna changamoto za kifamilia zilipelekea kuwekwa mahabusu hadi muda huu ninapoongea hapa. Nami ndo nimepata taarifa za yeye kuwa mahabusu leo hii asubuhi", Mr Hassan alimalizia kwa kuomba tena msamaha.
......."Haiwezekani, hii ni mara ya pili unatuletea hapa ngonjera zako, unajua ni bilioni ngapi tunaenda kupoteza kwa uhuu upuuzi wako, lete nyaraka hapa" mjumbe mmoja alifoka kwa hasira baada ya kusikia Mr. Hassan Msangi hajaleta nyaraka za tathmini.
..........."Hapa Mr. Hassan lazima uvuliwe nyadhifa zako zote ndani ya chama, wewe unatuletea ujinga. Watu tumekopa mamilioni ya fedha kwa ajili ya huu mradi alafu wewe unaleta habari gani hizi", mjumbe mwingine alidakia.
Hakika kikao kilitibuka baada ya Mr. Hassan(Bosi wa Johnson) kutoleta nyaraka za tathmini. Baada ya vurugu na matusi kupamba moto, mwenyekiti alisimama na kuomba watu watulie. Hatimae wakapiga kura ya kutokuwa na imani na katibu wao, Mr. Hassan Msangi.
Mr. Hassan Msangi akavuliwa rasmi ukatibu wa chama na kupigwa marufuku ya kutohudhuria wala kushiriki shughuli zozote za chama kwa takribani miezi mitatu. Majukumu ya kuandaa nyaraka alipatiwa mtu mwingine na kikao kikafungwa rasmi.
*****************************************************
.........."Johnson, the son of Bitch, I must kill you, naapia lazima nikufyekelee mbali. Lazima ulipe kwa hii dharau niliyofanyiwa na wajumbe wenzangu. Nitakuuaaaaaaaaa", yalikuwa ni maneno ya Mr. Hassan aliyoyatamka kwa hasira punde alipoingia garini kutoka kwenye kikao.
*Johnson ameachishwa kazi
*Johnson anasakwa auawe kwa hasara aliyomsababishia Bosi wake Mr. Hassan
*Jackline anataka Idris amuache Roida
*Idris anakihitaji cheo cha Johnson kwa udi na uvumba.
JE, NINI KITAENDELEA.
TUKUTANE TENA KESHO PANAPO MAJAALIWA.
Shukran mkuu.RIWAYA: NIACHENI NIKUFURU

shukran kiongoziNimeweka vipande viwili leo.