Riwaya: Niacheni nikufuru

Riwaya: Niacheni nikufuru

RIWAYA: NIACHENI NIKUFURU

MTUNZI: FAHAD MUSSA

EMAIL: fahadmussa55@gmail.com

SEHEMU YA NNE

Roida alitoka chumbani na kuelekea sebuleni alipo Jackline kwa lengo la kufanya kile walichokubaliana na Idris chumbani.

..........."Jack, samahani kwa kukukalisha hapa sebuleni peke yako, yani wenye nyumba tunakimbilia vyumbani alafu wewe mgeni tunakutelekeza hapa peke yako", Roida aliongea huku akitafuta sehem nzuri ya kukaa.

............"Usijali mwaya, hata sikuwa mpweke.Mi mwenyewe nilikuwa bize hapa kuangalia hii filamu. Kwa hiyo ondoa shaka", Jack alijibu.

........."Anyway, Enhe Shosti, hebu nipe kwanza habari za ndoa ili na sisi tunaoiogopa tuweze kuifikiria. Nishachoka kudanga mwenzako"

..........."hahahahaha, usinichekeshe Roida.Unadanga wapi wakati mumeo Idris yupo.Hapo tayari ushaingia ndoani, sina cha kukuelekeza maana kila ninachokifanya na Johnson na wewe unakifanya na Idris, hakuna tofauti japokuwa hamjaoana"

........"Aaaa wapi, ushanipiga gepu shosti, hapa hata akitokea kimada mwingine huko nje akaingilia mahusiano yangu sitakuwa na sauti ya kupambana nae, ila wewe hakuna mjinga atakayeweza kuingilia ndoa yako kirahisi, maana tayari mushahalalishwa kisheria, tofauti na mimi"

..........."Ila ni kweli usemacho Roida, ndoa inakufanya uwe na uhakika na mali yako, hakuna mwanamke atakayevamia shamba lako kirahisi. Sasa kwa nini hamjaoana wakati mumeo ana kazi nzuri tu na maisha yenu mazuri kama yetu"

........."Usijali mwaya, nadhani mwakani tutafunga. Ila nina jambo moja naomba nikushirikishe kama rafiki angu". Roida aliongezea

........."Kwako wewe tena, nitakataaje. Hebu nipe huo mchapo". Jack akajibu huku akikaa vizuri kusikiliza nini Roida anataka kumwambia

........"Jack, hapa nilipo mwenzako nina majanga. Yani Iddy anataka tufanye sex muda wote hadi nachoka mwenzako. Hakuna cha ijumaa wala cha jumatano. Hakuna cha saa sita wala cha saa kumi, yani ni kama kuku, muda wote ni kupandana tu. Hata tulipoingia hapa, tulielekea kwanza chumbani kutuliza kiu yake. Nimemaliza ndipo nimekufata hapa sebuleni"

"Duuh, pole sana mwaya, hawa wanaume wanachosha asikwambie mtu. Hata John nae yupo hivyohivyo tu, ila naona wa kwako kazidi. Kwahiyo umechukua hatua gani?"

........"Hatua ipi ya kuchukua zaidi ya kupanua mapaja tu, sitaki atoke nje ya mahusiano yangu, asije akaniletea ukimwi bureee, ndio maana naendelea tu kuvumilia kumpa"

............."Ni kweli Roi, endelea kuvumilia tu, naamini ipo siku atapunguza mwenyewe. Ukianza kum'bania atachepuka hovyo mwisho wa siku akuletee magonjwa"

.........."Ahsante kwa ushauri wako, ila naomba unisaidie jambo jingine pia. Ila natanguliza samahani"

............"usijali, sema tu Roida, nakusikiliza"

............"Mimi kama mwanamke, nina wivu sawa na wanawake wengine, na sipendi kuona Iddy wangu anaenda kwingine. Ila nimefikiria nimeona wewe unaweza kunisaidia. Nisaidie shosti angu,". Roida aliongea kwa manung'uniko huku chozi likianza kumtoka.

............."Sasa Roida, unapotoa chozi tambua unaniumiza hata mimi mwanamke mwenzako. Nyamaza basi alafu nieleze vizuri, mimi nikusaidieje?".Jackline alimjibu na kuchukua leso yake na kuanza kumfuta machozi Roida.

.............."Jack, naomba unisaidie tushee kwa Iddy, najua ni ngumu kunielewa ila naomba tufanye siri ili unisaidie kupunguza hamu zake. Sipo tayari kuona Iddy anaenda kutafuta wadada wengine ambao mimi siwajui". Roida aliendelea kuongea kwa kwikwi huku akilia. Jackline alishtuka sana baada ya kusikia ombi la Roida.

............"Mmmh, Roida, si unajua mimi nimeolewa jamani. Sasa nitaanzaje kulala na Iddy huku nina ndoa yangu". Jack alihema kwa nguvu huku butwaa bado lingali libichi usoni mwake.

.........."Najua umeolewa Jack, na mumeo ni rafiki mkubwa wa Idris, ila nitajitahidi kuitunza hii siri ili uniondolee hii aibu. Sipo tayari kuachana na Iddy wala kumruhusu aende kwingine, isipokuwa kwako tu". Roida aliendelea kum'bembeleza jack huku sasa machozi yakianza kupungua usoni.

.............."Duuuh, unanipa mtihani mgumu shosti angu, Nafsi inakataa kumsaliti mume wangu Jonhson"

..........."Jack, nipo tayari kukupa chochote ili mradi unisaidie, hata mumeo hawezi kujua chohote. Itabaki siri yetu mimi, wewe na mume wangu tu". Roida aliendelea kusisitiza.

........."Duuuh, huu mtihani ni mzito. Ila sawa shosti angu ntakusaidia ila naomba iwe mara chache sana. Sitaki kuwa mtumwa wenu. Nimekuonea huruma sana". Jack alijibu kwa sauti ya chini huku macho akiyaangalia chini.

'Yes, nimemuweza, kaingia mtegoni mwenyewe. Ngoja niseti mambo hapa nichukue changu napemaa kwa Iddy haraka sana'. Roida alijiwazia moyoni baada ya lengo lake la kumshawishi Jack kufanikiwa.

............."Ahsante sana best angu kwa kunikubalia, sikutegemea kama ungenikubalia ombi langu".
Roida aliinuka na kumkumbatia Jack kwa nguvu huku machozi yakiendelea kumtoka.

Laiti kama Jack angeujua ukweli uliopo baina ya Roida na Id.....

Roida alimuuliza Jack kinywaji anachotumia na kuelekea kwenye friji na kutoa soda mbili za koka na kurejea mezani. Waliendelea kupiga stori za hapa na pale huku wakinywa vinywaji vyao. Dakika kumi baadae Idris akatokea pale sebuleni na kuungana na akina Roida. Walipiga stori hadi saa kumi jioni

BAADA YA WIKI MOJA

..........."Honey, leo ni jumamosi. Naomba basi uniruhusu niende nyumbani kwa Roida japo nikapige nae stori. Kukaa nyumbani nimechoka alafu ukizingatia sahizi sina chochote cha kufanya tangu duka langu la nguo liungue moto". Jack aliongea kwa sauti yake ya kudeka huku akichezea ndevu za Johnson wakiwa wote chumbani.

........"Umenikumbusha malkia wangu, kuhusu duka nina mpango wa kukufungulia kubwa zaidi ya lile, nimepata frem soko la saba saba na nishalipia hela ya pango ya mwaka mzima. Subiri wiki mbili hizi nijichange change alafu tutajua tunaanzia mzigo wa shilingi ngapi. Najua umechoka sana kukaa nyumbani". Johnson aliongea.

.........."Na vipi kuhusu kwenda kwa Roida?". Jack akauliza

..........."Mke wangu, badala ya kuniuliza kodi ya hiyo frem ni sh.ngapi au mazingira ya hiyo frem yapoje, wewe unaona kwa Roida ndo muhimu sana". Johnson aliongea kwa hasira kidogo baada ya kuona mkewe hajatilia maanani maelezo ya duka aliyompa.

.........."Sio hivyo baby, simaanishi kuwa sijali maelezo yako, hapana. Bali nataka tu niende kwa Roida nikapige nae stori, alafu nikirudi tutazungumza vizuri kuhusu hiyo frem. Nisipokusikiliza wewe nitamsikiliza nani tena?". Jack akamtuliza mumewe.

.........."Sawa, we nenda, ila ikitimia saa kumi na mbili kamili jioni uwepo hapa. Mi utanikuta sebuleni nakopi baadhi ya documents za ofisi kwenye kompyuta.

..........."Sawa J wangu, hapo tu ndo ninapokupendea. Ngoja nioge chap niondoke". Jack alishuka kitandani na kuelekea bafuni kuoga. Alipomaliza akaingia tena chumbani na kuanza kujipodoa. Alivaa gauni lake la pink linaloishia magotini, nywele zake nazo zilizoshonewa rasta zilimfanya aonekane mrembo zaidi. Chini alivaa viatu vya pinki vya kisigino kirefu(High hills). Akashika na pochi yake ndogo ya mkononi yenye rangi ya pink. Hakika alipendeza, Uzuri wa sura yake na umbo lake jembamba ila lillilobarikiwa nyuma ndo kulizidi kumpa muonekano wa kuvutia zaidi.

.........."Mmmh, we mwanamke, kupendeza kote huko unaenda tu kwa Roida au kuna sehem nyingine unapitia?". Johnson aliuliza kwa mshango baada ya kumuona wife akiwa kajiremba kiasi kile.

........."Hahahahahaha, jamani darling usinichekeshe mwenzako, nitaenda wapi kwingine zaidi ya kwa Roida. Nimeamua tu kupendeza wala usijali". Jack alijibu huku akimalizia kupaka Lip gross mdomoni.

......"Sawa, we nenda. Ila hongera sana, hakika sikukosea kukuoa. We ni mzuri sana mke wangu, hata nikipita huko mtaani naringa. Sio mtu unakuwa na mke m'baya hadi unaona aibu kutembea nae mtaani". Johnson aliongea huku akimvalisha saa mkewe.

..........."Ndo hivyo, hukukosea. Ulifanya chaguo sahihi mume wangu.". Jack akamjibu mumewe huku tayari akiwa kashamaliza kujiandaa. Akamuaga mumewe na kuondoka.
Aliondoka na gari la mumewe hadi kwa Roida ambapo alimkuta Roida jikoni akipika. Idris alikuwa chumbani akichezea chezea kompyuta yake. Ghafla mlango wa chumbani ukafunguliwa.

........."Iddy, Jack ameshakuja, nipo nae jikoni ananisaidia kupika. Sasa tunafanyaje?". Roida aliongea mara tu alipoingia chumbani.

..........."Oooooh, waooooo. Nashukuru sana Roida, sijui nikupe zawadi gani. Basi naomba uchukue SEP (Sex Enhancement Pills) umchanganyie kwenye juisi, umpe anywe alafu utakuja kunishtua". Idris alimpa maelekezo Roida.

.........."Nipatie kabisa mshiko wangu, maana kazi yako nishaifanya. Kumuwekea SEP kwenye juisi sio kazi ngumu, naenda kumuwekea sahizi". Roida alijibu. Idris alielekea kwenye kabati lake na kulifungua kwa funguo maalumu. Akatoa kiasi cha laki mbili na nusu na kumpatia Roida.

..........."Tulikubaliana laki tatu Iddy, bado hamsini". Roida aliongea kwa ukali". Pasipo kusema chochote, Iddy aliliendea tena kabati lake na kutoka na elfu hamsini. Akampatia Roida.

........"Jiandae kula mzigo, nakuja kukuita sasa hivi". Roida alijibu baada ya kupokea hela na kuziweka kwenye mkoba wake. Akafungua mlango na kuelekea Jikoni.

......."Shosti, nikupatie juisi ya matunda unywe huku tukiendelea na mapishi yetu, au unasemaje". Roida alimuuliza Jack

.........."Poa nipatie, maana joto la humu jikoni lishaniongezea kiu". Jack alimjibu Roida huku akifuta futa jasho kwa leso yake.

Roida, akaliendelea friji lililo karibu na jiko, akachukua Jagi la sharubati (juisi) na kuimiminia kwenye glasi. Akageuka nyuma na kuangalia kama Jack atamuona, bahati nzuri Jack alikuwa bize na sim yake.
Roida akachukua vidonge viwili vya SEP (Sex Enhancement Pills) na kuvitia kwenye ile sharubati (juisi). Aliikoroga vizuri na kumpelekea Jack.

Ndani ya dakika tano tangu Jack aanze kuinywa ile sharubati(Juisi) akaanza kujihisi kama hamu ya kufanya ngono inamjia kwa kasi. Muda si mrefu akaanza kuichafua chupi yake kwa ute uliokuwa ukimtoka. Kadiri mda ulivyokuwa unaenda ndipo hamu zilizidi kupanda kupita kiasi. Hakuna kingine alichokuwa anahitaji muda huo zaidi ya kumpata mtu wa kumkuna, mtu atakayepunguza hamu zake.

USIKOSE SEHEMU IJAYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh kumbe kuna vidonge vyakutia nyege,jack nae lofa tu
 
RIWAYA: NIACHENI NIKUFURU

MTUNZI: FAHAD MUSSA

EMAIL: fahadmussa55@gmail.com

SEHEMU YA TANO

........'Njoo uubebe mzigo wako huku, naona ushaanza kupagawa huku jikoni', Roida alituma ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu yake kwenda kwa Idris aliyeko chumbani.

.........'Poa nakuja chap', Idris alirudisha ujumbe kwa Roida.

.........."Vipi shosti, mbona umesimama ghafla, kuna tatizo?. Roida alijifanya kuuliza kana kwamba hajui kilichotokea

..........."U u u u siiiisi....jali Roi niko poa tu, na...na..naomba unioneshe choo kiko wapi". Jack aliuliza kwa kigugumizi huku akijitahidi kuificha hali yake. Ila ukweli ni kwamba hali aliyokuwa nayo muda huo ilikuwa ni mbaya. Chuchu nazo zilikuwa zinamsisimka hata bila kushikwa, huko ikulu ndo usiseme palikuwa hapatamaniki kwa mvua iliyokuwa ikimnyeshea.

........"Pita tu hapo sebuleni alafu uingie kwenye huo mlango mdogo. Ifate hiyo korido hadi hicho chumba cha tatu ndo choo". Roida alimuelekeza Jack.
Jackline bila kusubiri akatoka jikoni haraka na kuelekea chooni, ila Kabla hajaimaliza sebule akakutana na Idris akiwa anashuka ngazi kutoka chumbani kwake, ghorofa ya kwanza. Bila hata kusalimiana Jack akaendelea na safari yake ya kukimbilia chooni. Alifanikiwa kuugusa mlango wa chooni ila kuhusu kuingia humo ndani ilibaki historia tu.
Idris alimuwahi Jack kabla hajafungua mlango wa maliwato na kumshika kiuno. Kwa hisia alizokuwa nazo Jack, hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuusalimisha mwili wake kwa mwanaume huyu. Na Iddy nae bila ya kinyongo akaanza kulitimiza jukumu lililomleta pale.

.........."Ooooh Idris, help meeee....,f***k me pliz oooh jamaaani mimi oooh shiiiii......" Jack aliendelea kulalamika huku akimkumbatia Idris kwa nguvu.
Idris alilipandisha juu gauni la Jack, akaishusha taiti ya jack hadi chini kabisa. Jack akabakiwa na ch**pi tu. Idris hakuwa na haraka ya kuivua ile nguo iliyobaki. Bali alichokifanya ni kumgeuza mateka wake na kumshikisha ukuta. Mateka nae bila ubishi wala usumbufu wowote alitii matakwa ya mtekaji. Idris akatanua miguu ya jack, akaisogeza ch**pi ya jack pembeni. Hakutaka kujisumbua kuivua.

Akafungua zipu yake na kuutoa mzigo wenye uzito wa kutosha. Akaing....................". Hii staili ndio inaitwa QCSF (Quickie Clothed Standing F**k).

Baada ya takribani dakika 20 za mtanange wa kukata na shoka, kila mmoja alikuwa hoi kwa uovu uliofanyika. Jack alipitiwa kabisa na usingizi pale sakafuni. Idris akam'beba Jack na kumpeleka moja kwa moja chumbani kwake na kumlaza.

MASAA MANNE BAADAE

Jack akiwa kitandani kwa Idris, akaamka kutoka usingizini na kujikuta yupo chumba tofauti na alichokizoea. Hapo ndipo kumbukumbu zilimrejea kuhusu tukio lililomfanya awe pale.

........"Ooh my God, nimefanya nini mimi. Nishamsaliti Johnson wangu mimi", Jack alijilaumu kwa kile kilichotokea.

.........."Huyu Roida itakuwa kuna vitu alinitilia kwenye ile juisi, haiwezekani niwe na hamu kiasi kile, ila Idris amejua kunikuna ipasavyo, huyu mwanaume ana pumzi kama farasi na dudu lake lile". Jack alijiwazia moyoni huku akiangalia saa yake na kukuta ni saa moja kasoro usiku.

.........."Mungu wangu, kumbe muda umeenda hivi, nitamjibu nini mimi mume wangu" Jackline alikurupuka kutoka kitandani na kuanza kutafuta nguo zake. Ghafla mlango wa chumba kile ukafunguliwa na Idris akaingia ndani. Jack akalikimbilia shuka na kujifunga haraka, maana alikuwa yu uchi wa mnyama.

..........."Jack, usione aibu. Sisi ni watu wazima, haya mambo ni ya kawaida tu. Be comfortable". Idris aliongea huku akimsogelea jack.

Jack nae akawa kama kapigwa na butwaa baada ya kumuona Idris anamsogelea. Iddy alisogea mpaka pale alipo Jack na kumkumbatia kwa nguvu. Hisia za Jack zilirudi tena na mpira ukawekwa tena kati ili uchezwe. Jack alisukumiwa kitandani na Iddy akautawala tena mchezo kwa mara ya pili. Jackline alikuwa akilalamika tu na kupiga kelele zisizoeleweka. Ila maajabu ya mpira huu ni kwamba mwisho wa mechi matokeo ni kama ifuatavyo, Iddy goli moja na Jack ni magoli manne.

Baada ya shughuli hii nzito, Jack alielekea bafuni kuoga na kuanza kuvaa upya nguo zake. Aliporidhika yupo vizuri akamuamsha Iddy ambae alikuwa kalala fofofo kutokana na shughuli ile ngumu.

.........."Kuhusu kurudi kwako usijali, Roida yupo sebuleni anakusubiri. Atakusindikiza hadi kwako, na yeye ndie atakayeongea na mumeo.
Kwahiyo usiwe na hofu". Iddy alimpa maelekezo Jack na kufungua kabati lake, alitoka na noti kadhaa za elfu 10 jumla laki moja na kumpatia Jack.

.........."Hapana Iddy, sihitaji hela yako, kwa jinsi ulivyonikuna ni zawadi tosha. Hiyo hela itunze nitakudai siku nyingine." Jack aliongea huku akisukuma mbali mkono wa Iddy ulioshika hela.

........"Ok, nashukuru sana Jack, basi ondoka sahizi ishatimia saa mbili na robo. Tutawasiliana next time". Iddy alimjibu Jack huku akifungua mlango na wote kwa pamoja wakatoka kuelekea sebuleni ambapo walimkuta Roida anasikiliza bongofleva. Jack akapatwa na aibu ya ghafla ila Roida akajitahidi kumchekesha na ile aibu ikapungua.

........."Roida, naomba umsindikize Jack kwao, ila wewe ndo ukawe muongeaji huko."

........."Usijali iddy, kila kitu kitaenda sawa". Roida alijibu huku akiinuka kochini na wote kwa pamoja wakaelekea nje kulikopark gari la Johnson alilokuja nalo Jack. Jack na Roida wakapanda garini na safari ya kuelekea nyumbani kwa Johnson ikaanza.

.........."Nakushukuru sana Jack kwa msaada ulionipatia, naomba urafiki wetu udumu. Umenisaidia sana, nimefurahi kwa leo ulichokifanya". Roida alianzisha mada ndani ya gari ila Jackline hakujibu chochote kutokana na aibu. Aibu ya kusaliti ndoa yake, aibu ya kulala na rafiki wa mume wake, aibu ya kukubali ujinga wa shosti ake. NI AIBU NA FEDHEHA..

Jack alijidanganya kuwa hawezi kuhamisha mapenzi aliyonayo kwa Johnson na kuyapeleka kwa mtu mwingine. Hakujua kwamba 'CHOVYA CHOVYA HUMALIZA BUYU LA ASALI'

Walitumia takribani dakika 20 njiani hadi kufika nyumbani kwa Johnson. Honi ilipigwa na mlinzi akafungua geti. Gari likapita moja kwa moja hadi parking. Jack na Roida wakashuka na kuelekea ndani. Wakamkuta Johnson bado yupo sebuleni na kompyuta yake.

.............."Hodi shem wangu". Roida alipiga hodi ya kinafiki wangali tayari washaingia hadi sebuleni.

..........."Karibuni sana wageni, vipi mbona usiku usiku". Johnson alijibu huku akijilazimisha kutabasamu.
Jackline aliigundua haraka hali ya mumewe, hata tabasamu alilolitoa alijua kabisa si tabasamu la amani, ni tabasamu la shari, tabasamu lililoashiria vita.

..........."Duuuh, tushakaribia shem wangu ila samahani sana kwa kukucheleweshea mkeo, nilimuomba anisindikize kwa shangazi yangu maeneo ya Nkuhungu ndio mana tumechelewa kurudi". Roida alidanganya.

............"Aaaah, usijali shem wangu, mbona hayo ni mambo ya kawaida sana. Hakuna haja ya kuomba msamaha, ninawaamini sana" Johnson alijibu

..........."Basi sawa shemu wangu, mi hata sikai maana nimechoka mno, naomba niondoke niwaache nanyi mupumzike". Roida aliongea.

..........."Sawa shem wangu, karibu tena. Mpe hai huyo jamaa yangu". Johnson aliongea huku akimsindikiza Roida mlangoni. Wakaagana na kuondoka. Nje ya geti Roida akasubiri Bodaboda na kupanda kuelekea kwake

............"Enheee, we mwanamke, tulikubaliana urudi saa ngapi hapa?" Johnson alimuuliza jack mara baada ya kuachana na Roida.

............"Jamani mume wangu, mbona unakuwa na lawama za ajabu hivyo, ningewezaje kurudi peke yangu na kumuacha Roida huko kwa shangazi yake" Jack alijibu huku akilalamika

..........."Kama unajua ilishindikana kurudi mapema, kwanini hukunitumia japo sms kunijulisha. Nimekupigia sana sim ulikuwa hupokei pia"

.........."Baby, najua ni wivu tu ndo unaokukereketa hapo. Sim yangu niliweka silent bila kujua alafu pia kule kwa shangazi yake kuna pilika nyingi , Maana anaumwa. Kwahiyo kazi kama zote" Jack alilegeza sauti yake huku akijitahidi kukaa mbali na mumewe ili asije akamshtukia kwa harufu ya rosheni aliyoipaka baada ya kufanya ufuska.

..........."Cheni yako mbona haipo, heleni nayo huna. Na harufu ya rosheni sijui ya wapi hiyo" Johnson aliongea huku akimuangalia Jackline usoni.

.........."Kwahiyo unataka kumaanisha nini John?. Heleni na cheni vilidondoka kipindi napika kule kwa shangazi yake" Jackline alijitetea

.........."Ok mama, yaishe. Ila jitahidi siku nyingine uwe unanipa taarifa mapema kama utachelewa kurudi" Johnson aliongea kwa upole. Tayari hasira zilikwisha poa.

NASIMULIA

Ukweli ni kwamba, hakuna siku niliyoanza kupata mashaka kama siku hii ambayo mke wangu Jackline alichelewa kurudi nyumbani. Hofu yangu ni juu ya Rosheni aliyoipaka Jackline, ni Rosheni iitwayo " Crème de la Mer" ambayo ni adimu sana hapa nchini kwetu, kuipata kwake labda uagize Afrika kusini. Hii ni Rosheni anayoitumiaga rafiki yangu Idris. Hata mpenzi wake ambae ni Roida huwa haitumii hii Rosheni, ila Jack wangu kaitumia. Ameipata wapi?. Huyo shangazi yake Roida hana huo uwezo wa kumudu rosheni kama hii. Ukiachana na hilo, Jackline wangu alikataa kabisa kunipa unyumba hiyo siku. Ni mara ya kwanza tangu tuoane Jackline kuwa mkali kwenye tendo la ndoa. any way 'FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE'

TUKUTANE TENA KESHO PANAPO MAJAALIWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom