ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
the banker njoo useme hata neno!!!
the banker njoo useme hata neno!!!
Kaka nipo..... riwaya mtunzi huwa anaishusha jumamosi kwa jumamosi. Nawaahidi nitakuwa naileta kadiri anavyoishusha.
It's up to the author and down to meSi itaisha mwaka 2019 kwel jinsi ilivyo slow.
Ni mpenzi wa riwaya ila huwa sipendi kuwa teja kwa kusubiria zidondoshwe taratibu namna hii....ikiisha naomba mnitag!Si itaisha mwaka 2019 kwel jinsi ilivyo slow.
Njo makapuku kuna story nimeweka itapidi uanzie mwanzo ipo episode ya 40 now chit chatNi mpenzi wa riwaya ila huwa sipendi kuwa teja kwa kusubiria zidondoshwe taratibu namna hii....ikiisha naomba mnitag!
Ina husu ujasusi mama..?? Au mapenzi..!??Njo makapuku kuna story nimeweka itapidi uanzie mwanzo ipo episode ya 40 now chit chat
Mapenzi lakini sio sanaIna husu ujasusi mama..?? Au mapenzi..!??
Poa. Ingekuwa ujasusi ningekuwa mgeni wako... ila syo mbya kama unajua nyingne ilipo uka ni Tag rafk.Mapenzi lakini sio sana
Ila ni nzuri sana yule jamaa anajipa uchunguzi wa kuchunguza vitu flani hiviPoa. Ingekuwa ujasusi ningekuwa mgeni wako... ila syo mbya kama unajua nyingne ilipo uka ni Tag rafk.
Sawa mkuu ngja niji tahid... tanx.Ila ni nzuri sana yule jamaa anajipa uchunguzi wa kuchunguza vitu flani hivi
Asante mamy, ngoja nije ndani ya muda mfupi nitakuwa sambamba nanyi!Njo makapuku kuna story nimeweka itapidi uanzie mwanzo ipo episode ya 40 now chit chat
Mkuu demu wangu namtumiaga kwa whatsapp sasa hizo lawama anazonipaga kwa kumcheleweshea hii adithi ungeiweka yote tu maana nikimkosea kidogo tu lazima Niambiwe na roho mbaya ndo maana namtumia adithi nusu nusu
Mkuu demu wangu namtumiaga kwa whatsapp sasa hizo lawama anazonipaga kwa kumcheleweshea hii adithi ungeiweka yote tu maana nikimkosea kidogo tu lazima Niambiwe na roho mbaya ndo maana namtumia adithi nusu nusu
