Riwaya Mpya: Mpelelezi Ray Shaba katika

Riwaya Mpya: Mpelelezi Ray Shaba katika

kumbe
Mzee hauko serious ulitaka kututamanisha tu
uuh kwanini unasema hivyo? jamani kwani Trailer ya movie ina lengo gani? Mimi hadi hivi sasa nataka kwenda kuiona Black Panther.. maana inatamanisha... 😉😉😉😉
 
Huyu Shabba Ranks ni noma. Katoka kwenye Mr. Lover man, Ting a ling, House Call ftn Maxi Priest, Je Jam featuring Queen Latufah and KRS1, Trailer Load a Girls, Slow and Sexy, Na Respect hadi kuwa mpelelezi mahiri!!! Kweli maisha ni safari ndefu.
Teh teh buji buji bhana!!!!!!! Turudi zetu siasani huyu Mzee anazeeka kinoma zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom