Mkuu tatizo sio uzuri wa stories ishu ni budget tu ndicho kinachoangusha uhalisia wa muvi zetu za kibongo. Sehemu inayoelezea mhusika awepo kwenye mazingira Fulani anapaswa kuwepo kweli na kuvaa uhalisia halisi. It needs a huge budget to cover the cost. The higher the budget the higher the quality of your movieWakati nasoma hii riwaya nili
Wakati nasoma hii riwaya nilkuwa na aangalia movie flan hiv mfumo wa sesson ebana mkuu upo vzur sana kwa utunzi hakika fanya mchako uwenawandikia bongo movie story watafanya poa kwenye soko la filamu kila lakher.....