nilitegemea marybaby lazima utakua wa kwanza kureply, i really missed vituko vyako. Asante kwa kunipa pole pia
hivi kumbe ndivyo nilivyo eti.?
Dah..jamaa akazane kwakweli naona tabu mimi bila Rais and I na Jikono la chuma.
"basi, hakuna hasara, jiandae nikurudishe gerezani" Ray Charles aliongea huku akitoka katika kile chumba"
Duu jamaa katili sana...
Cc: mahondaw
Tuko wengi, karibu sana, tunaamini tutaendelea kupata vitu moto motoooNimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.
Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Karibuni sana, Mimi ndio ALEX KILEO,
Mtunzi was hizo riwaya
Afadhal mkuu umeonekana jukwaani, tunakusubir kwa hamuNimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.
Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Ahsante kwa ufafanuzi Legend tutaendelea kufuta subra mpaka hapo itakapoendeleaHeshima yenu wakuu. Kwanza poleni na pia samahanini sana kwa kuwaacha kimya kimya kwa muda mrefu bila taarifa rasmi. Majukumu mengine yalinibana, na hivyo sikuweza kabisa kujumuika nanyi hapa jukwaani, ila sasa nimerejea.
Riwaya ambazo nakumbuka hatukufika nazo mwisho bila shaka ni mbili, yani 'Mkono wa Chuma' na 'Mtoto wa Baba Paroko'. Kwa upande wa mkono wa chuma nimeona mkuu SPYMATE ametoa taarifa hapo juu, na ni kweli hayo ndio maelezo ya huyo Alex Kileo mwenyewe. Kabla sijapotea jukwaani nakumbuka nliwahi kumcheki kwenye simu kumuuliza kama anaiuza sehemu iliyobakia, nkiwa na lengo la kuinunua na kuileta hapa, ila alisema 'haiuzwi' na akaahidi tena kua ni lazima ataiendeleza mpaka mwisho, pindi atakapomaliza changamoto zake 'personal' zinazomkabili. Baadae ndio akaleta hiyo taarifa kama ilivyowasilishwa hapo juu.
Kwa upande wa 'Mtoto wa Baba Paroko' nlifanya pia mawasiliano na mtunzi mwenyewe Lello, akasema hiyo itaendelea kama kawaida, na wala haitakua kwenye kitabu. Isipokua kwa sasa anabanwa na zoezi la kuandaa kitabu cha 'Mimi na Rais (the President and I)', na punde atakapomalizana na hilo zoezi atapata wasaa mzuri wa kuiendeleza 'Mtoto wa Baba Paroko'.
Hivyo kwanza niwape pole ya arosto ya muda mrefu, lakini pia niwaombe tuwe wavumilivu wakati tukiendelea kusubiri muendelezo wa hizo riwaya. Tuko pamoja wakuu
mkuu the_legend shukran kwa taarifa pia tujulishane pindi iendeleapo
nliiona ID yake sema ckuamini maana wabongo tumezidi upigajiPamoja sana mkuu. Tena imekua vizuri kwa sasa Alex Kileo tupo nae hapa jukwaani, so hamna kitakachoharibika
nliiona ID yake sema ckuamini maana wabongo tumezidi upigaji
pamoja sana
hah hah hah hahaaaanliiona ID yake sema ckuamini maana wabongo tumezidi upigaji
pamoja sana
Tena pole kwrli.nilitegemea marybaby lazima utakua wa kwanza kureply, i really missed vituko vyako. Asante kwa kunipa pole pia
Hayo ndio maneno...Nimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.
Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Mtalizwaje??Afadhali umekuja mkuu, karibu sana jukwaani. Tunategemea mengi mazuri kutoka kwako
Cc..