popie
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 801
- 577
RoboCop hawezi kuwa sawa na mtu kamili ndugu!!
Umesahau kwamba Starling hauwawi mamiemwali!!!Minja kumbe hajafa
Hii hakuna kufanya mambo inapotolewa mpaka ipostiwe halafu mm sio chambo wako mfyuuuuFanya mambo basis dear wako atuongezee ingine![]()
fumbo la utambuzi
mkono wa chuma).Daaah kumbe huyu Dizonga ni double agent yaani ile ya kupoteza vitambulisho ni geresha tu, lengo lilikuwa kumuokoa Sergeant Minja ambaye alijua hajafa!!!
Sasa kitu kimekuwa hatariii Konki faya !!!!
Rais atang'oka apende asipende
Nahisi Dizonga alipodai kusahau kitambulisho kwenye mfuko wa mwili wa Minja alifanya hila na huenda alimwekea boys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wadau wameomba wakati tunaendelea na hii mkono wa chuma niweke pia riwaya zilizotangulia kabla ya hii.
Kimsingi kabla ya hii zilianza kuwepo 'memory card' na 'fumbo la utambuzi', baada ya hizo ndo ikafuata hii Mkono wa Chuma. That means hii mkono wa chuma ni muendelezo wa hizo za nyuma nlizotaja hapo, yani ni kama series flani hivi(memory cardfumbo la utambuzi
mkono wa chuma).
So nimefkiria wakati tunaendelea na hii ya sasa nijitahidi kuwawekea na hizo 'memory card' na kisha 'fumbo la utambuzi', ili muelewe vizuri yote yaliyojiri kabla ya mkono wa chuma, kama ishu za mikataba ya BQ ilipoanzia na kadhalika. Stay tuned...
the Legend☆
Kitu Kama hicho.......Nahisi Dizonga alipodai kusahau kitambulisho kwenye mfuko wa mwili wa Macha alifanya hila na huenda alimwekea boys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Jumapili wakati tunaendelea kusherehekea ushindi wa Simba tutaanza na 'memory card'
Kama unaanza hizo uweke uzi zakeBaadhi ya wadau wameomba wakati tunaendelea na hii mkono wa chuma niweke pia riwaya zilizotangulia kabla ya hii.
Kimsingi kabla ya hii zilianza kuwepo 'memory card' na 'fumbo la utambuzi', baada ya hizo ndo ikafuata hii Mkono wa Chuma. That means hii mkono wa chuma ni muendelezo wa hizo za nyuma nlizotaja hapo, yani ni kama series flani hivi(memory cardfumbo la utambuzi
mkono wa chuma).
So nimefkiria wakati tunaendelea na hii ya sasa nijitahidi kuwawekea na hizo 'memory card' na kisha 'fumbo la utambuzi', ili muelewe vizuri yote yaliyojiri kabla ya mkono wa chuma, kama ishu za mikataba ya BQ ilipoanzia na kadhalika. Stay tuned...
the Legend☆
Woyoooooo hapo kwenye ushindi wa simba yaani hapo acha nikupende tu mmNadhani Jumapili wakati tunaendelea kusherehekea ushindi wa Simba tutaanza na 'memory card'
the Legend☆