Riwaya: Mkono Wa Chuma

Riwaya: Mkono Wa Chuma

Mbona hilo dear ni baya ..Shuu ndio zuri...

Na anawaita wengi humu..sijui ndo anategeza...kama ndoano??

Kizamaniii....

Mara ya mwisho kakwita lini hivyo?



Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu, tangu nijiunge jf mtu pekee kuwahi kumuita dear ni Shunie tuu, kama yupo mwingine mtaje hapa. Truth be told Shunie alikua so kind to me tangu siku zangu za kwanza kabisa hapa jf

the Legend☆
 
Kuna waarabu weusi pia, hahaa

the Legend☆
Arab ya Sudan kusini hahahahaaaah, pamoja mkuu, niko nazuga zuga hapa kusubiri muvi iendelee yaani haka ka ulevi ni zaidi ya uteja, namsubiri BQ nione mwisho wa siku itakuwaje? Cjui apata mchizi wa kumtuliza? Nipo hapa mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom