Mimi sio Shigongo na Hata Riwaya zetu Hazifanani.. unawezekana huzifahamu Riwaya za aina hii.. Nikuulize swali ushawahi kuona wapi Riwaya za Hayati BEN MTOBWA NA ELVIS MUSIBA ZIKIWA NA LUGHA TOFAUTI? TUTARUDI NA ROHO ZETU LICHA YA ASILIMIA 80 KUWA KATIKA NCHINI ZA MAGHARIBI UMEONA KUNA SEHEMU KULIKUWA NA LUGHA TOFAUTI NA KISWAHILI?We ni noma mkuu, una kipaji haswa. Ila naomba unisaidie, Canada wanaongea kiswahili? Maana naona wote wanatiririka kiswahili
miss u moree mbona umepotea hivyoShuniee mic u so much Ni PM
Pole sana ibraSorry juzi na jana ndio ilikuwa tunamaliza hitima ya Neema panapo majaaliwa kesho tutaendelea
Mm apa ibra
Pole ibra tuwekee no tukutumie japo kdogoNahitaji sapoti yenu wakuu kwa hali na mali.. Napitia kipindi kigumu ndio maana stori huwa haitembei
Sio hivyo ibra amekuja ongea wameshazikaYaani nyie kina shunie mnajishunisha mmeshindwa kwenda kumfariji ibra kabisa,acheni roho mbaya nyie kina dada khaaa
Hata hivyo bado yupo kwenye kipindi kigumu so mpe kampani bwanaSio hivyo ibra amekuja ongea wameshazika
Nampa kama hivi kumpa pole nimeshachukua no yakeHata hivyo bado yupo kwenye kipindi kigumu so mpe kampani bwana
Okay0743990480
Mpk sasa ibra Bado nimefichwa kuna mtu nimemwagiza anakuingiziaUlifichwa
Poa ibraNimeupata mzigo
Mm nipo we sijui ulifichwa wapiShunie nimekumic long time no see
Wachaa ww Ni shidaa ww ndo ulifichwa cjuiiMm nipo we sijui ulifichwa wapi
Mm nipo sana ww huonekaniWachaa ww Ni shidaa ww ndo ulifichwa cjuii