Una roho mbaya wwHii thread ifungwe tu cc moderators
Hahahaha mtunzi kaingia mitini anatukata stimuUna roho mbaya ww
labda kapata matatizo au kakamatwa tena kama mwanzoHahahaha mtunzi kaingia mitini anatukata stimu
Mkamtolee dhamana aje aendelee na storilabda kapata matatizo au kakamatwa tena kama mwanzo
Aseme tutaendaMkamtolee dhamana aje aendelee na stori
Mimi ndiye mkusanyaji wa michangoAseme tutaenda
Pole sana ibraNilimpoteza Dada yangu mpendwa, hapa ndio natoka tanga nipo chalinze ndio maana nilikuwa kimya. pia jiandaeni na kitabu cha Riwaya hii