Riwaya: Konstebo Zungu

Riwaya: Konstebo Zungu

Hii stor itaisha au ndo badae unatutaka tulipie maana hamkawii kusema twende wasap kwa 5000
 
Hawa jamaa ndio walewale akina bold na nifah wanatoa hadithi nzuri sana ikifika penye utamu wanaanza kuchangisha na kutumiana kwenye magroup ya WhatsApp sitaki Hata kuwafuatilia sasa.
 
Mi wanipeleke tu

nitatoa.

Mbona vitabu tunanunua kwa bei kubwa..sasa elfu tano kitu gani
 
Hawa jamaa ndio walewale akina bold na nifah wanatoa hadithi nzuri sana ikifika penye utamu wanaanza kuchangisha na kutumiana kwenye magroup ya WhatsApp sitaki Hata kuwafuatilia sasa.
Mkuu na mm naanza kuhisi harufu hyo, alikuwa mwaminifu yule Wa PENIEL...
 
Hawa jamaa ndio walewale akina bold na nifah wanatoa hadithi nzuri sana ikifika penye utamu wanaanza kuchangisha na kutumiana kwenye magroup ya WhatsApp sitaki Hata kuwafuatilia sasa.
Bold kazngua kinyama

Ashajua stori yake ni kama ushuhuda so hakuna atae taka kuikosa ndo mana akatuchinjia baharin cie akina pangu pakavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom