Riwaya: Konstebo Zungu

Riwaya: Konstebo Zungu

duh

jamaniiii

haipo...nikajisemea leo silali mpaka nisome.

nafwaaaa

Nguzu ndoa kaishia njiani sijui ntamkuta wapi
 
RIWAYA: KONSTEBO NGUZU (Mzimu wa babu)

KUMBUKIZI!

Konstebo Martin Nguzu yu taabani baada ya kukabiliana na adui aliyemzidi maarifa, na pambano hili lilitukia akiwa amevamia katika nyumba ya koplo Zubeda.

Bila kutarajia Nguzu anakutana na Zubeda wakati ambao alikuwa akimuhitaji sana......
Hajui nini kinaendelea na akiwa hata hajauliza swali moja kundi jingine nje ya nyumba linawasili.

Ni kundi la askari,walikuwa wameambatana na inspekta Kobo aliye taabani zaidi.
Zubena na Martin wanashtushwa na ujio ule na kujiona waziwazi kuwa hawawezi kuchomoka huru katika nyumba ile.
Maaskari wanaizingira nyumba........

UJIO wa watu hawa ni kwa lengo moja tu,kumkagua inspekta Kobo ambaye alidhaniwa kujihusisha na kikundi hatari cha ujambazi kilichokuwa kimetetemesha kanda ya ziwa.
Kobo alinjitahi awezavyo kujitetea kuwa hausiki na kikundi kile, alimweleza hadi IGP juu ya kilichotokea lakini hakuona kama ilisaidia, bado alipelekwa puta.
Sasa yungali katika nyumba ya Koplo Zubeda ambaye ni hawara yake......

PIA tusisahau kuwa Juma Kihwele,mwandishi mwenye kimbelembele bado anaishi katika mkasa wetu......
Dokta Kobo mke wa Inspekta yu katika kuzimia 'coma' bado.

[HASHTAG]#Baada[/HASHTAG] ya kumbukumbu hii ya kutuweka sawa Leo baada ya muda tutaendelea na Riwaya yetu pendwa.
Samahani kwa usumbufu wowote uliojitokeza,Muda mambo yaliyo ndani ya uwezo wangu yalinikwamisha kuendelea ila tumerudi hewani tena.
 
Karibu sana, pole kwa yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom