Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Aisee, ongeza picha hizo Mkuu maana hapo hakuna kuchapa, unafanya vizuri ukimaliza page zote kabisa.
 
Jamani naomba mnijuze, niliwahi kuambiwa na Jama mmoja kule Arusha" Eti mtunzi wa Hizi liwaya, kikomo, njama, kikosi cha kisasi. Hakua mwana usalama Bali alifanya kazi ujenzi, kabla hawajanzisha Tan road na TBA,Tanzania biuding agency. Mwenye. Ukweli huu a niambie kwafaida ya wengi.
 
Mtunzi wa hizo riwaya alikuwa na CPA ya uhasibu
 
Mpaka anafariki nadhani alikuwa MWENYEKITI wa Tanzania Chamber of Commerce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…