Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Asante Kibajajitz.Najua tupo katika pilikapilika za maisha lakini msitusahau sana.
 
Dah! Nilijua tu mmoja kati ya hawa wapelelezi atafariki! Ila sikutegemea kofi, mawazo yangu yalikuwa kwa ozu!


Makala nyingi za Musiba mara nyingi mpelelezi mmojawapo hufariki kama watakuwepo kuanzia watatu ili story inoge!
 
Hivi vitabu vya msiba bahati nzuri vyoote nimevisoma na pia ninavyo.KUFA NA KUPONA.KIKOMO. NJAMA.KIKOSI CHA KISASI.NA HOFU.VYOOTE VIPO.
 
SURA YA KUMI

MAPAMBANO BADO YANAENDELEA

VI

Ozu aliuzunika sana kwa kumpoteza koffi lakini aliapa lazima atalipa kisasi kwa kundi la WP.Tuwavumilie jaman hii kazi ni ngumu
 
kwa mwendo huu wa macho kodo tutakuwa vipofu aiseeh
 
Daaah
Nadhani wamechoka sasa akina kibajaji
Anyway bado tunawashukuru sana,mlicho tufanyia hapa sio HABA
Mbarikiwe hapo mlipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…