Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Duuuh yani hamtaki hata kumpa muda wa kupumzika mwandishi?
 
Musiba ni hatari sana.

Kama umeajiliwa na unakitabu cha msiba kazini unaweza jisababishia matatizo na mwajili wako
Mwajiri mwenyewe naye nipo naye anaulizia kama iddy keshatupia episode inayofuata ndo tiffany kikao
 
Tatizo mzuka mkuu,mimi nakumbuka zama hizo nikiwa shule ya msingi ndio nilisoma vitabu vya Musiba.
Basi ilikuwa ikifika muda wa kula unaona tabu kuacha kitabu na kwenda kula.
Yaani ukishaanza kusoma hutaki kitu chochote kikukatize.
Haaaahaaaah, nakubali maana hata nikiwa nasoma hii STOry mtu akiniongelesha daaah huwa sipendi we acha tu mkuu
 
Hao warembo kama nyaso (hofu )zawadi (njama )mwadi na tete (kikosi cha kisasi )ndio walikuwa chachu na ufumbuzi wa matatizo ya gamba.
Itabidi nkutafute unifundishe kiswahili inaonekana ntakuwa mwanafunzi bora tutaongea kiswahili na watu wasielewe tutaongea Mimi na wewe tuu
 
Back
Top Bottom