Riwaya: Kikomo

Mkuu King of zodiac najua hutatuacha bure, ni SAA 3 SAA hizi. Karibu Mkuu.
 
King niaje aisee ebu mlete Willy Gamba tuna Jhamu Sana mkuuu king tafadhali usituache IDK huu
 
Wanan,finyango,johape,shubalozimchovunie,kibuyu180,tumosa ,shamac matukutuku, bess,ngoma ya ukae,malafyale , guasa, amboni, nemesis swahiba 92 ,mtoro8, cmases, shunie,lazarod298,bujibuji,dahafrazeril,abbya,
Lutayega, I keep ma promise, evarist massawe, tonier
 
Asante sana King! Na mimi machale yalinicheza pale Mengi alipopatwa na dharura na kuchukua likizo kwenda kumuona mkewe aliepatwa na ajali, nilihisi kuna namna. Big up King!
 
Hakika tumeburudika sana na story ilianza mwanzo hadi mwisho safi sana Ubarikiwe sana King
 
shukrani kwako king, kwa kutumia muda na gharama zako kutuburudisha. ukipata riwaya nyingine husisite kutushirikisha mkuu.barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…