Tuache ujinga wa kuquote post nzima! Huo so ustarabu ndugu Yang wala si ujanja. Natumai umeelewacasuist riwaya zako ni nzuri sana,ila ombi langu kwako kwa riwaya hii nakuomba upunguze makosa ya kimaandishi(spelling mistakes).Ntashukuru sana kwa hilo
ok well noted,ndio tunajifunza kuquote ndugu,lengo langu ni kuweka sehemu alizokuwa amekosea ila ndio ikatokea hivyoTuache ujinga wa kuquote post nzima! Huo so ustarabu ndugu Yang wala si ujanja. Natumai umeelewa