Riwaya: 'hofu'

Hakulipiza nini tena mkuu si umeona amemgonga F. K hadi kafa

Labda kama mwandishi alipitiwa.....hakuna uhusiano wowote wa historia chungu ya Nyaso na FK.....so hakulipiza...ila alimuua adui wa nchi (na mpenzi wake:cool2:)...

Alimgonga FK kwa benzi lake mwenyewe.sema hasa kazi yake bado kummaliza aliyeua familia yake

According to the story,Mi nilielewa kwamba alieua familia ya Nyaso ni FK

Ni kwanini FK aliua familia ya Nyaso? Tena akilenga hata watoto? Nadhani sio FK....
Wakati Nyaso akimhadithia Willy historia yake alisema alikua anamtumia FK ili apate fedha za kulipiza kisasi!

Exactly hata mm nilhisi hivyo pia mkuu. Ila kwa nn Nyaso anamkumbusha willy ahadi yake au ndo."anamwemwesa"

Mwandishi alijisahau hapa....stori ya Nyaso haikutimia....
Kwamba kwa nini muuaji aliteketeza familia?
 

Mkuu hiyo ni opportunity kwa wengine kutunga story ya Nyaso
 
Shukrani sana kidi kudi naamini burudan imefika ilivyokusudiwa
 
Last edited by a moderator:
Nafurahi kuona kazi hii imefika tamati,tuisubiri hiyo UCHU nami ntakua nachungulia muda wowote nkipata chance. Cheers
 
Hii inaitwa bandika bandua, tumeondoka na NJAMA na sasa tuna HOFU.

Ewaaaa kweli kabisa kiongozi, kidi kudu mzigo.wa KIKOSI cha kisasi haupatikan mkuu nina hamu ya kiwasoma tena kina Pierre na Ozu
 
Last edited by a moderator:
shukrani za kipekee ziende kwa WILLY GAMBA 1 na KID KUD nasema asanteni sana na mbarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…