wakuu kwa kuwa imebakia sehemu moja riwaya hii ifike tamati na kwa kazi kubwa aliyoifanya Willy Gamba 1 kuileta hii kitu hapa mnaonaje nikimpa heshima yake ya kuja mwenyewe kutamatisha?
We malizia tu mkuu,afu kwa niaba ya wana jukwaa wote na wapenzi wa riwaya za kijasusi tunakuomba sana utuletee either "kikomo" ya willy Gamba au "mkimbizi" ya Tiga