Riwaya - Balaa

Siyo kweli,riwaya nyingine unaposoma unajua tu hii ni fupi na hii ndefu,chukulia TUTARUDI NA ROHO ZETU? na BARUA KUTOKA JELA,je,unaposoma riwaya hizi unaziona fupi?.

So u mean jamaa anairefusha hii hadithi au umemaanisha nini mkuu??
 
Siyo kweli,riwaya nyingine unaposoma unajua tu hii ni fupi na hii ndefu,chukulia TUTARUDI NA ROHO ZETU? na BARUA KUTOKA JELA,je,unaposoma riwaya hizi unaziona fupi?.

Kibishi we mbishi km jina lako. ..zote nimezisoma...una shida wewe
 
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Sasa mapengo junior huu muda badala ya kutupia riwaya,wewe unabishana?

Wewe pia kichwa maji...na mbishi sijui mpuuzi au usomi comment..nawasiwasi na ubongo wako...sipendi kujibu comments sababu ntatukana watu bureee ukipenda subiria autaki Acha kusoma
 
Wewe pia kichwa maji...na mbishi sijui mpuuzi au usomi comment..nawasiwasi na ubongo wako...sipendi kujibu comments sababu ntatukana watu bureee ukipenda subiria autaki Acha kusoma

Kweli jina lako linafanana na unavyotupia hii hadithi yako. Unatupia kwa kurusha muda mrefu, ki mapengo mapengo!
 
Wewe pia kichwa maji...na mbishi sijui mpuuzi au usomi comment..nawasiwasi na ubongo wako...sipendi kujibu comments sababu ntatukana watu bureee ukipenda subiria autaki Acha kusoma

Kutukana ilipaswa tukutane wewe.
Hasira ilipaswa kuwa nazo sisi.
 
Kutukana ilipaswa tukutane wewe.
Hasira ilipaswa kuwa nazo sisi.

Ila kabla hujatukana mkuu jiulize ni kiasi gani unalipia hii hadithi.Yawezekana jamaa anazingua kwa kuzileta fupi au kwa kuzichelewesha.Lakini pia kumbuka kuwa ww unapokuwa free ndio unaingia huku kuperuzi hadithi,ukibanwa na majukumu hutokei humu ndani,so hata mapengo junior nae anaratiba zake.

Ila mkuu mapengo junior kuepusha matusi na jazba za wasomaji unaweza ukawapa ratiba ya utokaji wa hii hadithi ili mtu awe anajua siku flan akiingia ataikuta.Maana hii kukaripiana wakati hata kujuana hatujuani inakuwa sio vzr
 
Last edited by a moderator:

Nilishasema huko nyuma...ratiba kila siku naweka moja watu wakapiga kelele sana haiwezeka nkawa naeka mbili watu wakaona haitoshi nikawa naeka tatu pia haitoshi mwisho nikaishiwa vipande vyoote nilivyo navyo...
Mkumbuke mm sio mtunzi wa hii riwaya ila ni member wa JF nikaona si mbaya kushea na wanajamii forum wezangu..
Istoshe mm naisoma kwa kulipia ktk group la WhatsApp la huyo mtunzi na nilishaweka matangazo sana humu anaetaka ajiunge..
Ratiba maalumu siwezi toa kwa sababu me sio mtunzi pia hata ktk group letu mtunzi mara nyingine hatumi anatuomba radhi kwa kuwa tumelipia...kuhusu vpande vdg mm na copy na kupaste hivyo lipo nje ya uwezo wangu...
Anaeweza kusubiri asubiri asieweza a ache. comments nyingine hazivumiliki watu wanapenda kusemwa vibaya
Big up analyse kwa comments nzuri zenye kujenga
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu mapengo junior,nadhani kwa maelezo yako ya sasa hivi sidhani kama kuna atakayekuja kulalamika au kutukana tena.
 
Hapo nilipokoleza wino ndipo penye shida,inaonekana mpaka leo mungu hajapenda riwaya hii iendelee,na sijui huyu mungu tunaemsingizia mabaya atapenda lini.
 
Mkumbuke mm sio mtunzi wa hii riwaya ila ni member wa JF naisoma kwa kulipia ktk group la WhatsApp la huyo mtunzi na nilishaweka matangazo sana humu anaetaka ajiunge..

Haya sasa.... mnaoipenda sana mkalipie.
 
Pamoja mkuu mapengo junior,nadhani kwa maelezo yako ya sasa hivi sidhani kama kuna atakayekuja kulalamika au kutukana tena.

Hamna hata mmoja aliyemtukana.Malalamiko makali tunayotoa ndiyo ANAYOHISI tunamtukana.
 
Sasa mbona mwanzo ulibisha kama una copy Na Ku paste? Kazi njema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…