Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 79 Rivers walifanya shambulizi zuri lakini wakachelewa kumalizia Mwamnyeto akaokoa akichukua mpira mguuni kwa mshambuliaji Moses Omoduemuke
 
RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 79 Rivers walifanya shambulizi zuri lakini wakachelewa kumalizia Mwamnyeto akaokoa akichukua mpira mguuni kwa mshambuliaji Moses Omoduemuke
Acha usumbufu ushapigwa huko
 
RIVERS UNITED 1-0 YANGA

Dakika ya 81 Rivers United walipata bao likifungwa na Uche Onwuasonaja aliyeingia kipindi cha pili akifunga kwa shuti kali wakigongeana vizuri.
 
🐸🐸🐸🐸🐸🐸 hayooooo kigoda tu yanashindwa kupindua itakuwa meza 🤣🤣
 
Back
Top Bottom