Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Aisee Kweli. Kuna mgahawa pale kariakoo.. Mmmh wale wahudumu siwaelewi hata kuelezea nashindwa
Kesho nenda vaa ndala kwa kubadili miguu na ukiweza fanya kama unaingia kinyumenyume
 
Kawekee mfupa wa nguruwe uliojaa chumvi na ndimu
 
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Yaani nikaanza kuishiwa nguvu mwilini, akili ikazubaa moyo unaenda mbio... Sijui ikawaje nikapata akili nikalipa na kusepa hata chenji sikumbukagi kama nilichukua... Sikugeuka hata nyuma break ya kwanza nikatafuta open space nikakaa ku cool down...
 
Kawekee mfupa wa nguruwe uliojaa chumvi na ndimu

mshana jr; Elezea vizuri kuna tofauti ya mfupa wa nguruwe na mfupa wa kitimoto. Mfupa wa nguruwe waweza kuwa nikaokote pale machinjioni lakini wa kitimoto ni baada ya mimi kula ule utamu wake nimwekee huo mfupa. Kachawi kenyewe ni ka ile pande ya pili isiokula kitumoto
 
Nilipoingia pale nilikuwa naona watu si wa kawaida, mwili ukaanza kunisisimka, kila Nikitaka kunyanyua soda ninywe mkono unakuwa hauna nguvu....
Si wa kawaida ki vipi ? au hata kuhadithia unaogopa ? si umesema huendi tena ? tuelezee hayo maajabu basi ndugu
 
Mbichi ndio wenyewe.. Fanya mambo
 
Si wa kawaida ki vipi ? au hata kuhadithia unaogopa ? si umesema huendi tena ? tuelezee hayo maajabu basi ndugu
Mkuu elewa hivyo tu but wale wahudumu si watu wa kawaida hata Kidogo.. All in all tusali sana hii ndio silaha
 
Mshana siwezi kukutana na wewe ana kwa ana,Nakuogopa kabla sijakuona je nikikuona itakuaje? Jeneza,maiti, mara mochary.nakuogopa ase.
 
Wewe Mkuu ushawahi kujigeuza Paka au Panya? Ni mazingira yepi yalisababisha ujigeuze mnyama kati ya hao wawili. Acha tu niendelee kuyachukia mapaka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…