Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Swali langu mshana!
Umempiga paka kumbe mtu na akafa na ukashuhudia kabisa yule paka kafa, je yule paka mfano umemchukua umemfukia, sasa yule mtu kule atarudije augue na kufa ilihal alikuwa paka na umemuua na kumfukia kabisa.
Paka hafii pale atachechemea mpaka apotee ukimuulia ndani ukaenda kumzika siku ya pili huwezi kukuta mzoga wake kwakuwa hakuwa halisi
 
Ulimmaliza nguvu kwa kwenda kuflash kile kinyesi.. Hicho kilitakiwa kikae mpaka asubuhi
 
Kuna paka alikua anakuja kulia kila siku nyumbani kwetu siku moja mbwa wetu alimuua huyo paka ... Kesho yake tu huyo mbwa akaanza kuumwa na mwishowe kufariki
Duuu walikutana njiapanda hao
 
Kuna paka mmoja ilikuwa jioni tumekaa kibarazani wakati anakuja kudoea doea bi mkubwa alikuwa anapika pika ,akajikuta kamwagia maji ya moto kwnye kiuno...kesho yake asbh akaja mjukuu wake katoto kadogo kakatuambia kunabibiake anumwa kababuka makalio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hornet ya kweli au umeamua tu tucheke.
 
Yaani mada ya kusisimua halafu baadae kidogo unakuta watu wanapetiana kwa Maneno matamu, sijui ndio kupoozea msisimko? Kama pili pili na maji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inapendeza zaidi.
 
Yaani mada ya kusisimua halafu baadae kidogo unakuta watu wanapetiana kwa Maneno matamu, sijui ndio kupoozea msisimko? Kama pili pili na maji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inapendeza zaidi.
Nani hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usiombe uwe na jicho la tatu kwani utashindwa kuishi kwa amani. Utaona mambo mengi katika ulimwengu wa roho. Unaweza ukaona mtu yupo uchi huku anauza chakula, unaweza kupanda gari lenye fisi ndani, je utahimili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…