Risk ya kuwa na mwenye makalio makubwa

Risk ya kuwa na mwenye makalio makubwa

Yakhe, wahenga walisema ukipenda boga penda na ua lake. Sasa je unatumia ua lake au unalitazama tu atii?

I m just joking.

Huko mi mgeni mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kwani ulipenda makalio yake bro! ama ulimpenda baby wako kwa jins alivyo i.e tabia,na mapenz yake kwako?kalio kitu gani bhana! acha watazame uumbaj wa allah...!i

Tatizo wadau wanakodoa sana macho, imefika wakati naona noma kutembea nae, sasa sipati picha akiwa katika around zake, huko kazini kwake, daaaah...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mimi Ni ten cylinders, na majaribu Ni mengi ILA inshalah nasonga mbele kwa ushindi....
 
Picha ntakuwa namuweka sokoni, lakini ndio hivyo, she too much of hips.

Sent from my iPhone using JamiiForums app

kabla hujamuoa alikuaje? Shauri yako,nani alikushauri umuoe mwanamke mwenye vigezo sana? Ungeoa m'ke aliyepigwa pasi laasivyo usilalamike boss...
 
Wanapata usumbufu mkubwa sana, usisahau kuna watu ving'ang'anizi sana na wasumbufu pia ni wafadhiri wazuri wa Vitu vidogo vidogo, mwisho anaamua kwa ukarimu alionifanyia nimpe kidogo kisha niachane nae, akimpa jamaa anaonyesha ufundi ambao hajategemea, akirudi nyumbani mume wake anapanda ki heshima akishamaliza analala na kuanza kukoroma, kitu kitakachomfanya arudi tena kwa msumbufu wake.

anapanda kiheshma ha ha ha imenchekesha sana mkuu.!
 
hivi kweli mtu mwingine akitemea makohozi yake deep mule ndani, inaweza ikaoshwa ikatakata kweli? Maana yake kuingia juu ya makohozi ya mtu mwingine ni kinyaa mpaka mwili unasisimka, labda usiwe na hisia kuwa imepigwa muda mchache kabla hujapewa.

wewe acha kabisa kitu kinarudi kipya
 
kabla hujamuoa alikuaje? Shauri yako,nani alikushauri umuoe mwanamke mwenye vigezo sana? Ungeoa m'ke aliyepigwa pasi laasivyo usilalamike boss...

Sijamuoa bado, bado tupo kwenye initial stages.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Guys hivi ni kweli kwamba kuwa na wife mwenye makalio makubwa kunaongeza risk ya kumegewa!?. Mi babe wangu amajaaliwa haswaa hadi naogopa yani.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kuna wengine ------ makubwa kwao ugonjwa akiona tu mate yanamdondoka,
Kama mkeo anayo lazima asumbuliwe tu.
 
Attachments

  • 1401515088032.jpg
    1401515088032.jpg
    38 KB · Views: 262
Kuna wengine ------ makubwa kwao ugonjwa akiona tu mate yanamdondoka,
Kama mkeo anayo lazima asumbuliwe tu.

Unazidi kuniuzia uwoga aisee...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kila shetani na mbuyu wake. kuna wanaume wanaojielewa hawazuzuliki na kalio.
 
Huu Uzi nasuspect utakuwa mrefu sana Hapa JF Kwa jinsi wabongo wanavyo view makalio as something else
 
Back
Top Bottom