Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA


Well, umesema huna uhakika katika utendaji wake...........fuatilia/angalia trend ya graph yake........hao unaodai wanaosema kinyume na hiyo trend......sijui tuwaelewe vipi.........
 
Hiyo Position ya Naibu Kamishna ilikuwepo mwenyewe amestaafu au haikuwepo kabisa?
 

I personally interacted with him when he was working as Director of Finance at Barclays Bank - the guy is trustworthy, credible and versatile! I commend the appointment and I wish he will deliver in his new post.

Congrats to Rished.
 

Wametumia short cut......Kutafuna pesa kulekule inakokusanywa na sio kusubiri hadi ije BoT
 
Congrats 2 him profile yake inajitosheleza
 
Alikuwa MD wa Barclays kwa kipindi fulani kabla hajaenda Tanzania Mortgage Finance...
Anamwita Dr Idrisa Rashid Baba Mdogo , neema kwa ukoo huo. Alimaliza bcom ud 1995 na kuondoka na 1st class kabla ya kwenda kula masters UK
 
Mr. Bade Congratulations for your new post, we are expecting changes, so go for it.
 
No comments sijui utendaji I hope yuko poa.
 
Classmate huyu, jamaa kwao ni vichwa sana. Sijawahi kukutana na mtu jinias kama huyu na dada zake !! Shuleni high school, jamaa alikuwa analala haendi darasani halafu tukitoka darasani unamuhadithia mlichosoma kesho yake test anapata 100 !! Alikuwa EGM lakini alikuwa anakokotoa na kufunza watu wa form six, yeye akiwa 5 physics, namba, n.k...!!

Balaa huyu...!!


Hongera sana "dogo" halafu Kichwa Rished.........sitoshangaa huyu kijana kuja kuteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.....watch!
 
Jamani huyu c ndo ameua Barclay Bank (T)?? alikuwa anatoa mikopo kwa marafiki zake tuu mpk ikapata hasara ndo akaja mkenya??? Kweli tanzania hii kuwa uyaone...Kila kitu ni kujuana na si utendaji.....Hakika huko TRA marafiki zake hatalipa tena kodi

Kamanda Nsuri, lakini si jamaa amekuwa vetted na KUPITISHWA na vijana wa mke wa kigogo wa polisi ooops sorry UWT? Inamaanisha huyu jamaa kabobea kwenye mambo ya kodi au Credit Financing... Mimi ningempeleka kitengo cha kusimamia mikopo Elimu Kwanza oops Kilimo Kwanza! subject to his CV.
 
Ehee hiyo kiboko, kwa hiyo jamaa anawekwa kwenye mkondo wa TRA kivipi????



Kwani wakusanya kodi ni akina nani? Wakati ww unasubiri ugali mezani mwenzie kishaanza uonja jikoni, time unafika mezani yeye kashiba ni kukomba tu sasa!
 

Mbona mnashoboka sana na grades za darasani?
 
...uhh hang on, NOOO kuna meti mwingine kamwaga issue kumbe kweli kapewa kisiasa zaidi na ni mwanarichomondi pia !! uwii kumbe mahesabu ya mamvi haya, kweli bongo nuksi !!!!
 
Huyu Bade si yule wa scandal ya vikontena(branches) vya Barclays!?
 
Yaani POVU LINAWATOKA, kuna kitu mnashindwa tu kukitaja, au kwa sababu amesoma MADRASA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…